Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
avatar yako inahamasisha!
Acha hizo KK, abiria wa mbagala na ubishi wao wote, hakuna ambaye huwa anacheza na siti ya dereva, gari hata lijae vp siti ya dereva haiguswi. Mbagala raha jamani, huna haja ya kwenda gym, usafir wa umma ni mazoezi tosha
AVATAR says a lot.
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa;loooooooooooooooooh;
Lakini toa mkono huko we KK;Isije ikachomoka hiyo!!!
Imejirudia hapa mpaka kero sasa na hujaiweka yote
ngoja nimuuli GF wangu wa huko hayo yapo kweli?
hahhahaa nimechekajee. hahhha