Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,277
~ Kuna mtu ametuma nauli na mhusika amekaribia kufika
.
~ Halafu kuna wale tangu walipotuma nauli simu hazipokelewi kabisa.
~ Kisha kuna wale wanaosafiri kwa kutumia nauli zao na hawatarudishiwa.
~ Kuna mwingine yupo kituoni muda huu na mwenyeji wake hapatikani, hana pa kufikia wala hana hela.

~ Kuna aliyekula chocho baada ya kumuona anayempokea.

~ Mwingine anatamani angetumiwa nauli, wa kumtumia ndiyo hakuna.

Kila mtu anajua muda huu anapambana na hali gani!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
.~ Halafu kuna wale tangu walipotuma nauli simu hazipokelewi kabisa.