Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

hayo ma-land cruiser na ma-land rover yaliharibika sana huko njiani kabla hata ya mvua kunyesha - cheki picha:​

DSC00030.JPG
 
nauliza tu msinipige mawe. Hivi, baadae ikija gundulika kuwa watu hawaponi itakuwaje?????????????????. Nauliza tu.
 
itakuwa kama jusi, joto ya jiwe tajua. Mbaya nasikia huo mti ni sumu, matokeo ya baadaye, Mungu atusaidie maana tunachanganyikiwa, hatuelewi.
 
ASANTENI WATOA HOJA AMBAO WENGI WAO ZAIDI YA 80% YA MAISHA YAO NI MIJINI.......KWENU USAFIRI WA MALORI NI MATESO WAKATI SISI WATANZANIA HALISI (zaidi ya 80% ya watanzania wanategemea kilimo/huishi mashambani) HUO NDO USAFIRI WA KUTEGEMEA....HIZO SUMATRA,TANESCO,TRA,UHAMIAJI,EWURA,PPF TOWERS,AIRPORTS,BUSINESS CLASS,UNIVERSITIES,CHADEMA HQ,NCCR HQ,DART,FLYOVERS,PRECISION,EMIRATES NI ZA HUKO HUKO MIJINI NDO MAANA MNATAKA KUJA KWETU VIJIJINI MAANZA KULIA LIA.......!
TUBORESHEENI MAISHA NA HUKU KWETU SIO KUJIANGALIA HUKO KWENU TU...!
 
Njoo huku
 
Maajabu ni kwamba, unakunywa kikombe kimoja cha tu cha dawa ambacho ndo kinagharimu Tshs. 500 tu....na mara moja dawa inaanza kufanya kazi. Uruhusiwi kunywa mara mbili..... KWELI DUNIA IMEPETA MKOMBOZI.... TUSUBIRI MPAKA WAZUNGU TOKA ULAYA WATAKUJA...NGOJA TUONEE.!!!!!!!!
We jamaa mungu anakuona ...
 
Ndugu yangu yupo loliondo sasa hivi,amefika huko toka ijumaa jioni.Amesema mbele yake kuna magari 1200,yapo kwenye Que ya babu.
most of the vehicles ni STK,SU na DFPs,sasa jiulize magari ya mashirika na taasisi mengi yapo in DAR,pia kwa magari hayo elfu 1 plus,most likely walioenda huko wanatokea DAR and miji mikubwa.
kuhusu bei ya petroli watz tumeshazoea kupanda kwa gharama za maisha kila kukicha,so hata petroli ikifikia elfu3 kwa lita bado tutafanya adjustment kimaisha ili tuendelee kutumia magari yetu.kwani bila gari uwezi kufika kazini ontime.
Tupe mrejesho mkuu huyo ndugu yako anaendeleje!??
 
hizi comment "!!!!, mlikuwa hamjui kama mzee mwakipesile ana wapiga ".... Ogopa sana usalama sio watu wazuri kabisa . wanaweza kuwaaminisha watu kuwa jiwe ni mkate na watu hao wakaamini
 
Back
Top Bottom