Mambo ya kuzingatia katika ndoa

Mambo ya kuzingatia katika ndoa

UNATAKIWA KUMZIDI MKEO MAMBO (3).
1.Umri
2.Akili
3.Pesa
MKEO ANATAKIWA KUKUZIDI MAMBO MATANO 1.Subira
2.Upendo
3.Usafi
4.Maombi
5.Mipango
MNATAKIWA MUWE SAWA KWENYE MAMBO MATATU(3)
1.Maelewano
2.Uvumilivu
3.Heshima
WEKA MAONI YAKO KIPI KIMEKOSEKANA
Mimi mambo yote uliyotaja ninanayo ila ndoa haiko sawa!Nikuibie siri moja unaweza wewe ukawa sahihi kwa ndoa lakini usimpate mwenza sahihi!Kipimo cha upendo na usahihi wa mwenza utakiona mtakapopata matatizo makubwa!Sikufichi matatizo ni kipimo tosha
 
Back
Top Bottom