Ewe mwanaume, kabla ya kusaliti chama cha "Kataa Ndoa", ni vyema kuyafahamu haya

Ni ngumu sana kupata a perfect match kutokana na makuzi kadri maisha yanavyozidi kusonga mbele.

Mwanaume ukimpata mwanamke ambae umempita at least 5 years, ukaweza kukuheshimu na kukupenda, kaa nae huyo. Mwanaume epuka sana makabila marangu, moshi/kibosho huko utakufa mapema kutokana na ujeuri, ujuaji, sifa, UKATILI, atakupa stress mpaka unaingia kaburini. Warangi, Wanyaturu kaa nao mbali pia, ni malaya sana.

Ewe binti, epuka udangaji, udangaji ni kama ngozi, haiwezi kufutika na ukishatambulika tu, sio rahisi kuolewa ukiwa na umri wa 23 mpaka 26, utaolewa above 30 tena kwa neema. Binti epuka tamaa za maisha, jiepushe na wanaume za watu, ukiwa na wako hata kama bado maisha hayajakaa sawa ila ana muelekeo, mtie moyo na kumpenda, mvumilie, ingia nae ndani ya ndoa.

Binti usijiweke matawi sana, vijana rika lako watakuona hawawezi kukumudu, hata kama una kipato, be normal, epuka ujuaji na sifa. Acha tamaa za kuchagua kwa kuangalia kwa macho, wanaume za watu mnaotembea nao na kuwakataa vijana masikini, hata hao wanaume za watu walianza chini kama hao vijana unaowabagua.

Vijana, Mungu ndie mwanzilishi wa ndoa, tusitoke nje ya kusudi la ndoa.

Good evening Tanzania.
 
vitu vyote hapo naona vinabishika kimtindo

kuna msemo nilisikia kwenye movie 'being together incompatibly'

kuna watu wanaamua kuvumiliana
 
Wakati mkiendelea kudadafua huu mjadala wenu, mkumbuke tu jambo moja:

Siku hizi hawataki KUOLEWA. Wanataka 'kuoana'.

Kazi kwenu na hizo ndoa (lock) zenu! 😎

-Kaveli-
 
Ni ngumu sana kupata a perfect match kutokana na makuzi kadri maisha yanavyozidi kusonga mbele.

Mwanaume ukimpata mwanamke ambae umempita at least 5 years, ukaweza kukuheshimu na kukupenda, kaa nae huyo. Mwanaume epuka sana makabila marangu, moshi/kibosho huko utakufa mapema kutokana na ujeuri, ujuaji, sifa, UKATILI, atakupa stress mpaka unaingia kaburini. Warangi, Wanyaturu kaa nao mbali pia, ni malaya sana.

Ewe binti, epuka udangaji, udangaji ni kama ngozi, haiwezi kufutika na ukishatambulika tu, sio rahisi kuolewa ukiwa na umri wa 23 mpaka 26, utaolewa above 30 tena kwa neema. Binti epuka tamaa za maisha, jiepushe na wanaume za watu, ukiwa na wako hata kama bado maisha hayajakaa sawa ila ana muelekeo, mtie moyo na kumpenda, mvumilie, ingia nae ndani ya ndoa.

Binti usijiweke matawi sana, vijana rika lako watakuona hawawezi kukumudu, hata kama una kipato, be normal, epuka ujuaji na sifa. Acha tamaa za kuchagua kwa kuangalia kwa macho, wanaume za watu mnaotembea nao na kuwakataa vijana masikini, hata hao wanaume za watu walianza chini kama hao vijana unaowabagua.

Vijana, Mungu ndie mwanzilishi wa ndoa, tusitoke nje ya kusudi la ndoa.

Good evening Tanzania.
Sisi tulio na mademu wa kinyaturu tusiwaoe.
 
Yoote hayo sio shida kuna jambo moja muhimu zaidi.

Hakikisha mnatoshekeana kwenye ngono

Kama hamtoshekeani kingono, yupo mchepukaji atakayeanzisha dharau na hujuma kwenye hiyo ndoa yenu.
 
Unatakiwa Umzidi Mke Wako Mambo Matatu

1. Umri
2.Akili
3.Pesa

Mke Wako Anatakiwa Akuzidi Mambo Matano

1. Subira
2. Usafi
3. Mipango
4. Maombi

Na Mnatakiwa Muwe Sawa Kwenye Mambo Matatu

1. Maelewano
2. Uvumilivu
3. Heshima
NAAFIKIANA NAWE KABISA.
ANY WAYS KATAA NDOA,KATAA
WANAWAKE WA SIKU HIZI WOTE NI MALAYA
 
Back
Top Bottom