kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 3,253
- 4,824
Ndoa sio jambo la mchezo mchezo.... Ndoa ni taasisi ambayo inahitaji kudra za mwenyezi Mungu ili isonge mbele! Yaani mnaweza kwenda Sawa kabisa halafu mmoja wenu na hasa mke akaanzisha shauri kuwa mwaka Jana hukumheshimu kwenye swala flan na mgogoro unaanza kwa ishu za mwaka jana