Mambo ya kuzingatia katika ndoa

Mambo ya kuzingatia katika ndoa

Aisee jf raha sana. Mtu mmoja huyo huyo akimka vizuri full madini ila akiwa kapigwa anakuja na mambo ya ajabu.


Hapa umeongea ukweli mtupu[emoji106]
Jukwaa hili ukichunguza sna uchangiaji wa mtu hasa kwenye jukwaa hili, unategemea yeye na mpnz , mke , au mume wake , wameamkaje kwa siku hyo , mfno kuna jamaa yangu kaoa, juz kanisimulia kazinguana na mke wake , nikamwona anashika simu kuchungulia yupo humu ana charaza kataaa ndoa japo skufanikiwa kuona Id yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hihii ila ni hivi ukitaka ndoa nzuri fanya haya .

Tafuta hitaji lako lamoyo sio umbo, tu bali hata anavyokuona akuheshimu ukimkanya anakusikia anaomba msamaha na anamipaka nawewe.

Matunzo umpe ila sio hela zisizo zampangilio hapana maana mnajenga familia so inahitajika mjipimie ukishakuwa mume wamtu punguza uhongaji Kwa ndugu, marafiki na mademu, hela zako weka kwenye kibubu itakuwa useful maana Kuna kupata watoto, ujenzi , chakula , na mengineyo yahitajiyo familia .

Jitambue Mimi sio kijana sio mwanaume single , mie mumr wamtu Nina mke , anayenihitaji kimapenzi , kimatunzo, anauhitaji muda wangu, na wengine wajazilishie
Huu mwandiko sio wako utakuwa umemuomba mdogo wako wa darasa la saba akuandikie.
 
Unashaurije bro. Tuoe au tusubiri kidogo?
Kama upo na utayari wa kuoa na kuwa baba, mume na kichwa cha familia basi nashauri oa.
Lakini kama unasukumwa na ushauri wa humu ndani ama unaoa kwakuwa unataka kuwafurahisha wazazi, ama watu wanakusema unazeeka, ama kwakua unadem wako kitambo na unamuhurumia kwa mapito yake basi nashauri usioe.
 
Back
Top Bottom