Mambo ya kuyaepuka ukitembelea nchi hizi

Umesahau kusema kuwa usimiwambie mtu umenenepa au wewe ni mnene ukiwa Ujerumani. Pia hutakiwi kumwambia mtu umezeeka hata kama umri wake jua limezama hayo ni makosa makubwa sana kwa mila na desturi zao. Ni hayo tu
 
WaAfrika Ukijamba Kwa Sauti Watashindwa Kujizuia Kucheka Na Wanaona Km Umefanya K2 Cha Aibu Wkt Wazungu Ukijamba Kwa Sauti Wanakupongeza, Na Wanakuona Jasiri Na Unajiamini. Ukijamba Kwa Siri Utampa Taabu Mzungu Ataanza Kutafuta Chanzo Cha Harufu Mbaya Ni Nn Mahala Pale Maana Ni Wa2 Makini Sn. So Ukjua Umechafua Hali Ya Hewa Kimya Kimya, Waeleze Kuwa Msihangaike Ni Mimi, Hvyo Watakwambia Thank U, Watapuliza Marashi Mambo Yataenda.
 
Mkuu nimecheka sana aisee
 
Ukiwa jangili, mtoa rushwa mpokea rushwa, fisadi, muongo, mwizi unapewa kadi ya uanachama CCM chama cha MAZUZU na MAFISADI na pia unaweza kuambulia cheo cha juu sana.

Tanzania ukijua kusoma na kuandika unapata uwaziri. ...ukuu wa mkoa na wilaya.
 
Back
Top Bottom