Ata ukicheki documentary zao kuna jamaa anauwezo mkubwa mno wakukaa kwenye maji ya bahari kwa 20mnt bila vuta pumzi yani uwa anafanya yoga kwanza kabla yakuingia baharini anapumzi mnoNapenda sana life style yao, inawaacha wasafi wa roho na nafsi ndio maana wanaishi sana na ndio maana hawana pepo la uhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo vile vitoto huwa naviona capital tv vinanawa mikono nilikuwa sijawaela kumbe ndo shule yao ipo hapo?Nawakubali sana wajapan. Wana NIDHAMU mno, kuanzia ya muda, usafi, mavazi mpaka kwenye ulaji. Desturi yao ya kutowapa mitihani watoto wadogo shuleni huku wakifundishwa tu kufanya usafi kwa mikono yao pasipo kujali cheo wala nafasi ya wazazi wao, inanigusa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mfumo wao huo mkuu.ndo vile vitoto huwa naviona capital tv vinanawa mikono nilikuwa sijawaela kumbe ndo shule yao ipo hapo?
Boss i dunia ni ya watu bilion and more uwez jua kila iman duniani kua nikama yako o wa tz wengine uoni india wana abudu mpka ngombe so. Let it be simple kua we believe in GodSasa maisha bila watoto, kuna raha gani?
Kuweka akiba ya fedha kabla mtoto kuzaliwa, wana ahadi na Mungu kwamba mtoto atakuwa vipi?
Taifa lisilopokea watoto ni taifa mfu, bila matumaini, kwa sababu watoto ni taifa la kesho.
Kama hali yao iko hivyo basi tutarajie mwisho wa kuwepo wajapani, kwa sababu baada ya muda watu wa mataifa mengine wataingia na kichukua uenyeji wa taifa la kijapani
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Onyesho la uume π³ vip kuhusu onyesho la uke.Je, wajua kuwa Japan wanalo onyesho la uume π maonyesho haya yanajulikana sana kama "KANAMARA MATSURI" ikimaanisha onyesho la kuiba uume huwa yanaonyeshwa kila mwaka mwanzoni mwa mwezi wa nne kila Jumapili ya kwanza.
Pia Japan ina idadi ndogo ya watoto wazaliwao ikiwa inatokea kwa sababu watu kutokua na muda wa kuzaa na pia inatokea kwa sababu ya kutokua na hela maana huwa wanatenga kiasi cha fedha kwa ajili ya malezi kabla ya mtoto kuzaliwa.
Japan ni nchi ya kwanza duniani kuwa na binadamu wenye kuishi miaka mingi kiw binadamu mkubwa kwa karne hii yupo japan akiwa na umri wa miaka 117 akifwatiwa na mwingine mwenye miaka 116. Japan ni nchi yenye idadi ndogo sana ya uhalifu na ujambazi duniani ikiongoza kwa hili.
Pia ina jumla ya visiwa 6,852 Ambavyo vinatengeneza nchi moja iitwayo JAPAN
Nyumba za Wajapani wengi ni nyumba nzuri na ni safi za hali ya juu sana. Wengi uchukia uchafu ndani ya nyumba kiasi kwamba wajapan wengi sio wakaribishaji watu ndani ya nyumba zao kwa kuofia uchafu, na wengine kwa ajili ya tamaduni zao na Vitu vya kimila vilivyo ndani ya nyumba zao.
Usafi ni somo kama masomo mengine ya shuleni na ufanyiwa mpaka UE