Mambo ya kumwaga sera

Mambo ya kumwaga sera

inavyoonekana demu kaenda kumsalimia mshakaji maskani kwake that y kuna mtu pembeni yake.
 
Maria Roza, nidokeze hiyo picha imepigwa wapi huyu binti kafanana sana na my ex. naomba msaada wako
 
Demu kamuweka jamaa kwenye kiganja hana ujanja anachimbishwa mbaya. Kwa mwafrika ukionyesha udhaifu utateswa kweli....bora kuwa 50-50
 
Mwanaume tu hapo, Lakini mbona... mikono viunoni ka msutano
 
nadhani kuna mtu wanapatia moto kwa pamoja.wana-strategise hapo jinsi ya kumkabili
 
teremka tuongeze za yebo yebo!!!!!!!!! dahh kazi kwelikweli
:A S 465:
 
Back
Top Bottom