Mambo ya kumwaga sera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya kumwaga sera

Discussion in 'Jamii Photos' started by Maria Roza, Apr 13, 2011.

 1. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  [​IMG]  Ipe maneno hii picha nani anatongozwa???
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  na kwa nini unadhani wanatongozana?
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  body language
   
 4. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Nani anamtongoza mwenzie miye hilo silijui. Ila najua neno moja tuu mrembo amependeza!
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapo inaonekana wote wanatongozana.
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahahha safi sna naona kuna mtoto pembeni
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kapendeza kweli mdada
   
 8. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  maria roza,

  nionavyo mimi, body language inaonyesha kuwa wote mwanume na mwanamke wanaumiza vichwa kufikiri jambo fulani lililotokea muda mfupi uliopita. mfano kama wameibiwa TV dakika kumi zilizopita, huenda wanajiuliza watampata wapi kibaka aliyeiba TV yao?. angalia walivyoshika viuono na uso wa mwanaume unaonekana uko kwenye tafakari.

  ni kawaida kwa mwanmke akiwa katika tafakari huku amesimama kusimama wima na kujisaport kwa mikono yake kiunoni. kama angekuwa anatongozwa asingekuwa "mguu sawa" bali angekuwa "at easy" na angeonekana kurelax hasa kwenye miguu. ndio maana watu husema mwanamke akiwa anatongozwa huwa anaumauma vidole au kuchorachora chini au kuangalia pembeni nk, yote hiyo ni katika ku-relax ili somo limuingie vizuri na hasa ukizingatia kuwa kutongozana ni kujenga urafiki, sio ku-solve problem! body language ina kanuni zake!

  isitoshe hapo pembeni kushoto kuna kijana amekaa na na inawezekana naye kwa mkao huo kama anahusika na kinachoendelea, basi atakuwa kaiweka mikono yake yote miwili juu ya magoti na kichwa kainamisha kidogo (kama nyuzi 120 hivi) kwa tafakari ya tuo. kutokana na mila za kiafrika, hawawezi kuwa wantongozana huku mtu mwingine yuko karibu hivyo na anasikiliza kwa makini. katika hali hiyo wote wawili hasa mwanamke angeona aibu na kushawishi wasogee kando kidogo

  natumaini nimeeleweka

  zaidi unaweza kutafuta thread yangu ya sanaa ya kutongoza, utapata mengi

  asante
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  body language.....atongozwaye hushika kiuno kweli? mbona ni kama huyo demu kaenda kumsuta jamaa?
   
 10. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hapa kwa mtazamo tu kuna jambo mwana dada anawakilisha kama mbona matumizi ya mtoto sikuhizi huleti.. Na kwa haraka tu jamaa amegundua hatakiwi kuwa mkali ndiyo maana ana uso wa tabasamu yenye shauku ili ajipange kumlegeza huyu mdada . Mdada akishika kiuno akakupa maneno hata kama ni nani lazima uwe mpole kama jamaa.
   
 11. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hao wanajadiliana jambo fulani. Yaelekea huyo bwana ni fundi wanajadili maswala ya kujenga kijumba kipya hapo!
  Au yaelekea ni dalali anayetaka kumwuzia huyo dada hicho kiwanja, na wanajadili hatima ya hicho kijumba na mpangaji(aliyekaa chini)
   
 12. R

  Renegade JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Distance nayo inaongea, Inaelekea ni watu ambao wako karibu sana, Mdada anamshirikisha Jambo ambalo lina maslahi kwa wote wawili.
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  huyo dada miguuni kavaa sandals, kandambili, tairi au nini?
   
 14. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mbona huyo dada ndani ya suruali kama vile kuna majani? Ina maana ch*** ina mafundofundo au?
   
 15. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Ze Utamu fleva.......Umenikumbusha mbali sana, hii picha ni liwahi kuiona kwa mzee Utamu enzi hizo
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Tena hybrid ya uswazi (kuku wa kienyeji)
   
 17. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ramani za kabati huwa zinanifanya nikae nyuma ya alioko mbele yangu mpaka atokomee, huwa zinanimaliza kinyama!
   
 18. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  mimi ndio hapo nguo za kubana na michupi mikubwa inaponikera! nguo za kubana mwenzie G, hii michupi mikubwa asubiri siku zileeee za mwezi!!!!
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Yaani hizi zina radha sana
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Atakuwa alikuwa kwenye siku zake za mwezi kavaa kwa kuzuia isidondoke
   
Loading...