Mambo ya kujua kabla hujatekwa

Mambo ya kujua kabla hujatekwa

Ok lakini nadhani kuna mahali tunashindwa kuelewana
Lugha gongana!huyu jamaa hajui anaweza tekwa kwa kosa alilofanya jirani yake, ndugu yake au kwa kuhisiwa tu kwamba utashindwa kukaa kimya baada ya kushuhudia mke wa jirani yako katoka guest na kigogo flani.Hivyo ili kufuta ushahidi unatekwa au kupotezwa kabisa
 
Kutekwa kupo palepale kwasababu kutekwa kuna dhana pana , yafuatayo yanaweza yaka kufanya utekwe, hata kama utakuwa nje ya mfumo huo wa kisiasa kugombea nafasi fulani.

1. Ukihisiwa una mgegeda demu au mke wa mtu,

2. Ukimdhulumu mtu alafu akaona unaweza ukamshinda kisheria endapo mtaenda mahakamani,

3. Ukijifanya kiherehere kuharibu dili za watu mtaani yote hayo yanaweza pelekea ukatekwa,

4. Lakini unaweza kutekwa hata kwa kudhaniwa kwamba ulishiriki katika tukio fulani lililo muumiza mmoja ya wenye malengo ya utekaji huo.

NB: Unapo pewa mbinu na wajuzi wa mambo usiwe mbishi jifunze namna ya kujinasua kwa faida yako, kwisha habari yapo.
Daaah! wewe mkuu umemaliza, ungeongeza na hii;

Ukiishi mtaani bila kueleweka, watahisi huenda wewe ni Usalama wa Taifa unawapeleleza, lazima utekwe utoe siri za serikali usizozijua, wengi tumehisiwa sana hata wewe unahisiwa hivo, lakini navo ona maisha yako siyo

au watataka ujiunge nao, ole wako ukatae na wameshakwambia shughuli zao! utakoma kwishaaaa.
 
Hata kwenye mazingira ya kikazi tuu... Uko unataka utimize wajibu wako kikazi lakini wako ambao hawapendezwi na hicho unachofanya
 
Daaah! wewe mkuu umemaliza, ungeongeza na hii;

Ukiishi mtaani bila kueleweka, watahisi huenda wewe ni Usalama wa Taifa unawapeleleza, lazima utekwe utoe siri za serikali usizozijua, wengi tumehisiwa sana hata wewe unahisiwa hivo, lakini navo ona maisha yako siyo

au watataka ujiunge nao, ole wako ukatae na wameshakwambia shughuli zao! utakoma kwishaaaa.
Hahahahahahaha acha woga, tuna zungumzia kijinasua , sasa hayo yametoka wapi, ukihisiwa basi ndo kwisha habarai yako , kwa jinsi hiyo labda huwa unaangukia kwenye hoja namba nne.
 
Mimi raia wa kawaida, sina mbele wala nyuma, cna mpango wa kugombea wala kuijua siasa.. cjui wala cna mpango wa kugombana na wenye nafasi zao, natekwatekwaje kwa mfano?

[emoji117]ni sawa na maskin umwambie amiliki bastora wakati hana cha kumfanya aimiliki...
Umeongea upupu mkuu unaweza ukatekwa hata na magaidi/waasi au genge lolote kuishinikiza serikali au familia yako kufata matakwa yako
 
Yule mtoto aliyetekwa mbeya na kunyongwa alikuwa innocent zaidi yako mkuu...
 
Kutekwa kupo palepale kwasababu kutekwa kuna dhana pana , yafuatayo yanaweza yaka kufanya utekwe, hata kama utakuwa nje ya mfumo huo wa kisiasa kugombea nafasi fulani.

1. Ukihisiwa una mgegeda demu au mke wa mtu,

2. Ukimdhulumu mtu alafu akaona unaweza ukamshinda kisheria endapo mtaenda mahakamani,

3. Ukijifanya kiherehere kuharibu dili za watu mtaani yote hayo yanaweza pelekea ukatekwa,

4. Lakini unaweza kutekwa hata kwa kudhaniwa kwamba ulishiriki katika tukio fulani lililo muumiza mmoja ya wenye malengo ya utekaji huo.

NB: Unapo pewa mbinu na wajuzi wa mambo usiwe mbishi jifunze namna ya kujinasua kwa faida yako, kwisha habari yapo.
Mimi raia wa kawaida, sina mbele wala nyuma, cna mpango wa kugombea wala kuijua siasa.. cjui wala cna mpango wa kugombana na wenye nafasi zao, natekwatekwaje kwa mfano?

[emoji117]ni sawa na maskin umwambie amiliki bastora wakati hana cha kumfanya aimiliki...
Yule mtoto aliyetekwa mbeya na kunyongwa alikuwa innocent zaidi yako mkuu...
.
 
Back
Top Bottom