Usenge usenge usenge,> Je hakuna na back up plan ,zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get ,,wanavunja,mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi?
NB : > Afande Tesha ametumika kama Chambo kumtoa POLE POLE Mafichoni?.. make baada ya yeye kutoka hadharani na yeye wangu wangu akaruka.hewani kumbe tayari alikua kwa rada
Niko sehemu pekee yangu napiga konyagi kubwa,najiuliza haya maswali na zaidi ya haya ...Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?.
Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi?
Je Kuna system ilimuahidi ulinzi na sasa wamemuuza?
NB: Afande Tesha ametumika kama Chambo kumtoa POLE POLE Mafichoni?.. make baada ya yeye kutoka hadharani na yeye wangu wangu akaruka, hewani kumbe tayari alikua kwa rada
Mkuu,Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?.
Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi?
Je Kuna system ilimuahidi ulinzi na sasa wamemuuza?
NB: Afande Tesha ametumika kama Chambo kumtoa POLE POLE Mafichoni?.. make baada ya yeye kutoka hadharani na yeye wangu wangu akaruka, hewani kumbe tayari alikua kwa rada
Najiuliza hakujipanga kujilinda kwa level zile kwa kiwango chake alichofikia?Get lina pasuliwa kwanini hakurekodi ata kipande kidogo tu akatupia mtandaon
Kwanza futa akilini kuhusu huyo uliyemu address kama afande tesha. Yule ni kijana mhuni tu ambaye hayupo kwenye kikosi jeshi chochote nchini.Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?.
Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi?
Je Kuna system ilimuahidi ulinzi na sasa wamemuuza?
NB: Afande Tesha ametumika kama Chambo kumtoa POLE POLE Mafichoni?.. make baada ya yeye kutoka hadharani na yeye wangu wangu akaruka, hewani kumbe tayari alikua kwa rada
Beyond the line seem like you brick the code 🫢Mkuu,
Hata hiyo chip yenyewe ni geresha tu.
Tulikuwa tunauliza sana kuwa what is the grand strategy? What is Polepole's strategy?
It turns out hakuwa hata na strategy ya kujilinda yeye mwenyewe, achilia mbali ya kukomboa nchi.
This is not a ridicule, this is evidenced by what happenned.
Sijajua ila ingepatikana ata clip ndog tu ata kuingiza live na akatega simu tuoneeNajiuliza hakujipanga kujilinda kwa level zile kwa kiwango chake alichofikia?
Watanzania huwa tuna wa overrate sana watu.Najiuliza hakujipanga kujilinda kwa level zile kwa kiwango chake alichofikia?
Kwa Makombora aliyo kuwa anayatoa,sikutegemea abakie hapa bongo aisee..hata kama hakuna mtu wa kumchoma..kama ni kweli katekwa basi polepole ni mpumbavu.Inawezekana mipango ya pole pole ilikua sahihi kabisa maana anaijua system vizuri sana Nina hakika kilichomuangusha pole pole kuna usaliti umefanyika mahali kati ya watu aliyewaamini kuna mmoja amemchoma
Hivi kama hakuwa na mkakati wa ukombozi, alipanga kuishi maisha aliyoishi hadi lini? Namuonea huruma sana uko alipo.Mkuu,
Hata hiyo chip yenyewe ni geresha tu.
Tulikuwa tunauliza sana kuwa what is the grand strategy? What is Polepole's strategy?
It turns out hakuwa hata na strategy ya kujilinda yeye mwenyewe, achilia mbali ya kukomboa nchi.
This is not a ridicule, this is evidenced by what happenned.
Yeah hilo linafikirisha pia,Hivi kama hakuwa na mkakati wa ukombozi, alipanga kuishi maisha aliyoishi hadi lini? Namuonea huruma sana uko alipo.
Hata mkiona mtafanya nini ninyi peasants watu wa kitu kidogo?Sijajua ila ingepatikana ata clip ndog tu ata kuingiza live na akatega simu tuonee
Mimi mwenyewe nilijiiluza sana hilo swali lakini sikuqeza kabisa kuona mkakati katika kile alichokufanya, hadi nikaandika uzi humu kwamba anachofanya Polepole ni sehemu ya mkakati wa CCM.Mkuu,
Hata hiyo chip yenyewe ni geresha tu.
Tulikuwa tunauliza sana kuwa what is the grand strategy? What is Polepole's strategy?
It turns out hakuwa hata na strategy ya kujilinda yeye mwenyewe, achilia mbali ya kukomboa nchi.
This is not a ridicule, this is evidenced by what happenned.
Vibaya zaidi, ilikuwa ukiuliza maswali kama hayo wanaharakati wanakushambulia na kukubandika majina mabaya kama yote.Mimi mwenyewe nilijiiluza sana hilo swali lakini sikuqeza kabisa kuona mkakati katika kile alichokufanya, hadi nikaandika uzi humu kwamba anachofanya Polepole ni sehemu ya mkakati wa CCM.