9. Uaminifu ndiyo kitu bora baina yenu, na uaminifu huja kwa kufuata dondoo za juu hapo.hizo ndizo siri za nyinyi kudumisha upendo wenu na hata mkiishi miaka 100 lakini mtaonana wapya siku zote.
vyote vilivyotajwaNimekubamba na huku mkuu. Haya hebu ninong'oneze lipi hapo litakumaliza kabisa ujanja woote!
Hivi..? Yeye hatakiwi kufanya chochote ili nisimchoke? Mana naona yote natakiwa kufanya mimi tuu..
Akupikie, akufulie, akunyooshee, akukatikie n.k nk.Hivi..? Yeye hatakiwi kufanya chochote ili nisimchoke? Mana naona yote natakiwa kufanya mimi tuu..
kila mwanamke na tretment yake...!
Pesa ndio kila kitu ndugu unawezafanya yote hayo lakin kama huna atm 0+0[/QUO
Ofcoz tunaishi kutafuta hayo (pesa) ili zitupatie mahitaji yetu ya kila siku. Na ni wajibu wetu kuzitafuta haswaa kwa njia zozote halali (kufanya kazi kwa bidii)
Nadhani mleta hoja/mada alilenga kutuongezea vitu vya ziada ili kuimarisha mahusiano yetu. Na nilivyoelewa mimi, ni ushauri tu. Mtu aweza kuuchukua na kuacha kwa kadiri aonavyo yeye utamnufaisha vipi.
Lakini kwa ishu ya kuzitafuta pesa ili ATM isome, hakuna mtu wa kukushauri bali ni wajibu wa kila MTU mwenye akili timamu!!