Hivi..? Yeye hatakiwi kufanya chochote ili nisimchoke? Mana naona yote natakiwa kufanya mimi tuu..
Una akili sana...
Hivi..? Yeye hatakiwi kufanya chochote ili nisimchoke? Mana naona yote natakiwa kufanya mimi tuu..
hata mmea bila matunzo haukui na ukikua kamwe hauwi ni wenye afya nzur well said.
kila mwanamke na tretment yake...!