AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
wakuu salamu,
Nilikuwa natafakari jambo hili kwa kina nikaona ni vema niwashirikishe,Chadema na upinzani kwa ujumla umekuwa ukihaha kutaka kushinda katika uchaguzi hasa wa Urais,rejea uchaguzi wa kuanzia mwaka 1995 hadi 2015.
Binafsi naona wanachelewa katika mambo haya ya msingi,
1,waachane na kung'angania nafasi ya Urais kwani nafasi hii inaonekana waziwazi kuwa NEC wanaibeba CCM.
2.Nguvu zao wanatakiwa kuzielekeza katika ushindi wa Ubunge na Udiwani,hii itawasidia kuwa na Wabunge wengi bungeni ambao kwa namna moja au nyingine huenda ikawasaidia katika kuongoza muhimili mmoja wa Serikali kwa maana ya kuongoza Bunge(Spika).
Hii pia itawasaidia kupitisha mabadiliko ya ya katiba na kuweka tume huru ya uchaguzi ambayo itapelekea waweze kushinda Urais kirahisi
3.Watakuwa na uongozi wa halmashauri na majiji mengi zaidi kuliko wakati wote ule.
Kinyume chake wakikimbilia na kushikilia kutaka kushinda Urais katika miaka ya hivi kaibuni matokeo yake ni watajikuta anatumia nguvu kubwa na mwisho kujikuta wanashindwa yote.