Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Nimejifuta facebook
YEYE : " Jamani Baby nimeshafika muda mrefu nipo hapa kituoni nimechoka kweli Darling,juu nimevaa fulana nyeupe na chini nguo ya pinki,jaman I miss you my Baby come please!!!"
MIMI:"Waooh! Ok nimekuona Sweet heart nakuja,nisubiri hapo hapo,umependeza kweli Mpenzi,I cant wait hugging U!"
Kisha nikakata simu na kuparamia daladala linapokwenda sijui, kichwani najiuliza mbona sio yeye, picha aliyoweka Facebook ni tofauti na alivyo, NIMEKOMA!!!