Sasa kabatini unaweka za nn mkuu wape ambao wanaweza kuzivaakuna kiji mtandai hao UG , walitangaza trousers kali kweli za jeans na mimi ndio ulevi wangu, tena waka weka picha za jeans designer kabisa.... nikafanya order nikalipa waka deliver kwa rafiki yangu kampala mimi naish ushago hapa... jama alivyonitumia kwa Bus , kimuhe muhe balaa .... kwenda fungua nusu nilie na utu uzima huu... maana ni kama zile za tengeta zile wazipendazo ndugu zangu mwakeye kabla hawaja janjaruka... mpaka leoo ziko kabatini tu
hahahahahakuna kiji mtandai hao UG , walitangaza trousers kali kweli za jeans na mimi ndio ulevi wangu, tena waka weka picha za jeans designer kabisa.... nikafanya order nikalipa waka deliver kwa rafiki yangu kampala mimi naish ushago hapa... jama alivyonitumia kwa Bus , kimuhe muhe balaa .... kwenda fungua nusu nilie na utu uzima huu... maana ni kama zile za tengeta zile wazipendazo ndugu zangu mwakeye kabla hawaja janjaruka... mpaka leoo ziko kabatini tu
Ndo madhara ya uchoyo.unainunia mpaka jinsi...si gawia hao hao uwasemaokuna kiji mtandai hao UG , walitangaza trousers kali kweli za jeans na mimi ndio ulevi wangu, tena waka weka picha za jeans designer kabisa.... nikafanya order nikalipa waka deliver kwa rafiki yangu kampala mimi naish ushago hapa... jama alivyonitumia kwa Bus , kimuhe muhe balaa .... kwenda fungua nusu nilie na utu uzima huu... maana ni kama zile za tengeta zile wazipendazo ndugu zangu mwakeye kabla hawaja janjaruka... mpaka leoo ziko kabatini tu