Mambo ya Kitchen Party - Mwanamke mkorogo babuuu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
attachment.php
 

Attachments

  • DSC_1022.JPG
    DSC_1022.JPG
    93 KB · Views: 1,393
Mkuu El Torro, hauna video ya hiyo kitu, naona huyo aliyechuchumaa mwenye sketi ya njano alikuwa anakatika ile mbaya
 
El Toro ungebadilisha tittle isiwe mkorogo, maana wana JF waliotangulia kuchangia wameangalia hiyo njano inaonesha hiyo ndiyo centre of attraction kwa walio wengi. Mi nauliza, hivi huwa ni "Kitchen Party" au "Chicken Party" (kula na kunywa) kwa maana kwamba wengine wanaofanyiwa hivyo wanakuwa wameishi pamoja na watoto kadhaa kwa hiyo hakuna jipya watakaloambiwa.
 
Mijinyama hiyo kilichobaki diabetes na BP, ukiongeza mkorogo then cancer ya ngozi iko around. Aint that a walking corp?
 
Halafu watu walikuwa wamsema Al Marhum Michael Jackson, kumbe huku kwetu ilikuwa haijafika tu.
 
Jamani yule mwingine nadhani ni kilema wa ngozi, lakini huyu mwenye njano, mnhhhh.
 
Back
Top Bottom