kwa wale wenzangu na mie.... nadhnai washakuwa hoi hapa
u...fuska tu ndo mnaouwaza
Hivi show zao huwa wanafanyia wapi hawa watu na mimi nikawashuhudie siku moja?
eee Yesu rudi[/QUOTE
Bado kidogo. Kesha.
Hii makitu ilikuwa bukoba ukooo kwen show ya diamond. Umenierewaaaa
Kipipi ndiyo maana kila mchezo una mashabiki wake, na huwezi kuwa shabiki wa kila mchezo duniani.Khaa!!!
Hiyo nayo ni show mtu anaweza kufurahia???
sijui na huyo wa chini au wa juu.....no no no sorry sio wewe nilimaanisha wanafanana na nanihiiii yule wa pale jirani na wewe pale juuu paleYesu akija...........salaba atakalobeba ni la zege zaidi ya lile la strabag!!!
nimefanana na nani tena Elli
siku ya kwanza kuwaona nilizimia nikajikuta aga khan na madrip mwili mzima.
sijui na huyo wa chini au wa juu.....no no no sorry sio wewe nilimaanisha wanafanana na nanihiiii yule wa pale jirani na wewe pale juuu pale