Mambo ya kangna moko....laki si pesa

Mambo ya kangna moko....laki si pesa

hahahhaaaaaaa Huuuwwwwii ndio maana kwenye Birthday yako niligoma kununulia zawadi ya kufuli maana hapo sioni hata faida ya kuvaa kufuli wakati mali zote ziko full closed and protected, hapo hupenyi hata kwa dawa
shemeji Elli unathubutu kunifananisha na hao...........hawaingii kwangu hata kidogo........
bele.jpg
 
Nimemsikia sofia simba akiwakanya kiupoleeeeee.......leo BBC...nikasema shezny zake!! eti wavae kistaarabu na watoto wasiruhusiwe.........my foot!!badala ya kupiga marufuku ----- huu kwa nguvu zote..nway nani asiyejua huwa wanawaburudisha hadi hao wabunge
 
Wenzake hao !
 
sijawahi kwenda since then, mama alinikataza
 
Back
Top Bottom