Mambo ya kanga moja na ufunguzi wa Taarabu

Si mda mrefu,kama bado, bongo kutakuwa na strip clubs, laps dancers na porn stars...watakaoandikwa magazetini kama wasanii wa kawaida..hongereni wabongo wakati wenzenu wanafanya kwa starehe nyinyi mnafanya kwa njaa na ziki...!
Junius mbona zipo za kumwaga tu, hela yako tu, muulize Mzee wa Vijicent alivyogonga Bajaj alikua atokea wapi?zina kiza hizo apart of the lights on the stage hata jirani yako humtambui:becky:
 
Wakubwa wanosafiri ughaibuni na kukaa mahoteli makubwa kwa pesa ya walala hoi na ku-tune ktk channel za ngono ktk mahoteli hayo na "kufurahia maasi" ndo wabaya wa jamii kwani wanapokuwa hapa nchini hawakemei mambo kama hayo ya kanga moja kwa dhati. Pia mtu/watu au kampuni inayowakaribisha ktk shughuli/sherehe ni wa kulaumiwa - bila oda na pesa kikundi kingekufa "natural death"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom