UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,240
- 9,655
Nimekujibu.
Kwamba sijui.
Na kwamba kutokujua kwangu hakuthibitishi uwepo wa mungu.
Sanasana kunaonyesha kutokuwapo kwa mungu.
Kwa nini mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu halafu asiweke hilo wazi kwa kila kiumbe kujua bila utata?
Anaficha nini?
Maswali yako ya kwanini hivi mara vile hayapingi uwepo wa Mungu,sababu kuna mambo mengi tu kuhusu Mungu ambayo yanamthibitisha Mungu na huwezi kuyapinga. Bado hujatoa hoja ya kupinga uwepo wake.