Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,856
We mpuuzi kweli we! Imani ni nini na Dini ni nini?
uemuita mpuuzi tena unamuliza maswali, unataka ukujibu tena mpuuzi, kama hujui nini maana ya majidiliano bora ukaenda fb.
We mpuuzi kweli we! Imani ni nini na Dini ni nini?
Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na maandiko mengineyo yanajaribu kusimulia jinsi Mungu alivyoumba malaika, binaadamu na viumbe vinginevyo.
Vitabu hivyo vinaanzia masimulizi hata kabla ya uwepo wa binadamu katika dunia hii tunayoishi. Sina tatizo juu ya mambo yaliyotokea kuanzia kuwepo kwa binadamu hapa duniani kwakuwa mambo hayo yalirithishwa kwa masimulizi na kadhalika.
Je, mambo yaliyotokea kabla ya uwepo wa binadamu hapa duniani yalijulikanaje?
Nani kakwamboa watu wameshindwa ku criticise vitabu hivi?
Huyo hanaga majibu yeye ni kupinga na kuuliza maswali tu.
Kiranga najua kabsa kwamba vitabu vyote vinavyotetea uwepo wa mungu huwanga unavichukuli kama riwaya na tamthilia za kubuniwa na watu tu, kama passed like a shadow n.k
kwa maana hiyo nikitaka kujandiliana na wewe sipendi kutumia vitabu ambavyo wewe unavichukulia ni riwaya za kubuniwa tu,
kiranga kila siku huwanga nakuambia mungu yupo kwa sababu kazi zake zinaonekana.
Kiranga naomba leo usinikimbie kwa kuona nataka kukumbua na kufuta kabisa hoja yako ya kukataa kwamba mungu hayupo.OK,
Tuviondolee vitabu habari ya utakatifu na tuvichukulie kama michezo ya Shakespeare tu.
hapa tunamuongelea mungu ambaye ana uwezo wa kufanya kazi zote anazoziweza binadamu na ambazo haziwezi binadamu, ili kufanya unielewe zaidi nitakueleza mungu yupo kwa dhana ya kwamba kazi zake zinaonekana hadi leo ambazo hakuna mtu anayeweza kuzifanya hizo kazi., kazi kama uumbaji wa dunia na viumbe hai, hili ni swali ngumu kwako kama nikikuuuliza panzi alitoka wapi???Tuzichambue hizo kazi.
Ni zipi?
kwa sababu ni kazi ambazo binadamu hawezi akazifanyaKwa nini unafikiri zinaonyesha uwepo wa mungu?
Umejiridhishaje kwamba haziwezi kutokea kwa njia nyingine yoyote bali kwa kutoka kwa mungu tu?
Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na maandiko mengineyo yanajaribu kusimulia jinsi Mungu alivyoumba malaika, binaadamu na viumbe vinginevyo.
Vitabu hivyo vinaanzia masimulizi hata kabla ya uwepo wa binadamu katika dunia hii tunayoishi. Sina tatizo juu ya mambo yaliyotokea kuanzia kuwepo kwa binadamu hapa duniani kwakuwa mambo hayo yalirithishwa kwa masimulizi na kadhalika.
Je, mambo yaliyotokea kabla ya uwepo wa binadamu hapa duniani yalijulikanaje?
Kiranga naomba leo usinikimbie kwa kuona nataka kukumbua na kufuta kabisa hoja yako ya kukataa kwamba mungu hayupo.
hapa tunamuongelea mungu ambaye ana uwezo wa kufanya kazi zote anazoziweza binadamu na ambazo haziwezi binadamu, ili kufanya unielewe zaidi nitakueleza mungu yupo kwa dhana ya kwamba kazi zake zinaonekana hadi leo ambazo hakuna mtu anayeweza kuzifanya hizo kazi., kazi kama uumbaji wa dunia na viumbe hai, hili ni swali ngumu kwako kama nikikuuuliza panzi alitoka wapi???
kwa sababu ni kazi ambazo binadamu hawezi akazifanya
kwa sababu sijaona njia nyingine tofauti na hiyo kama zipo naomba utueleze asili ya viumbe hapa duniani.thanks
Yalifunuliwa na Roho Mtakatifu kama ilivyo kwa mambo ambayo hayajakuwapo bado.
If you had to verify the verification or prove the proof, then you would end in an infinite regress. Prove the proof of the proof....Roho mtakatifu ni nini?
Unaweza kuthibitisha kwamba ipo na si maneno tu?
Kwa hiyo wewe au mimi kutokujua panzi anatokeaje ni uthibitisho kwamba panzi kaumbwa na mungu?
OK,
Tuviondolee vitabu habari ya utakatifu na tuvichukulie kama michezo ya Shakespeare tu.
Tuzichambue hizo kazi.
Ni zipi?
Kwa nini unafikiri zinaonyesha uwepo wa mungu?
Umejiridhishaje kwamba haziwezi kutokea kwa njia nyingine yoyote bali kwa kutoka kwa mungu tu?
Kwa hiyo wewe au mimi kutokujua panzi anatokeaje ni uthibitisho kwamba panzi kaumbwa na mungu?
This is a logical non sequitur.
Mathematically you might as well say that because one does not know the square root of two, it must be eight.
It doesn't work like that. You must show why is it eight and not any other number.
Kwa nini ufikiri kuwa mungu ndiye kaumba ulimwengu? Unaweza kuonyesha uhusiano wa moja kwa moja?