Mambo ya kabla ya uwepo wa binadamu yalijulikanaje?

Nimejiuliza haya tangu utoto wangu

Hakuna jibu la kueleweka kwa maswali hayo.

Kwa sababu hakuna mungu huyo, ni uongo wa kutungwa na binadamu tu.

Tena uongo wa kitoto unaojifunga na kujikanganya wenyewe.
 
"Mbona kafanya hivi, kwanini asingefanya vile?"

Halafu ndiyo unasema anajipinga kwa kutokufanya vile ambavyo wewe unataka,hivi wewe hata kujipinga unajua maana yake?
Maana kwa upuuzi huo unaweza hata ukasema kwanini maisha ya Afrika yasiwe kama ya ulaya na marekani au kwanini sisi weusi na wale weupe ukahitimisha Mungu kajipinga.

Sio kwamba nasema anajipinga kwa kutofanya vile ninavyotaka.

La hasha.

Tumeambiwa mungu ana upendo wote.

Maana yake upendo huu hautaruhusu yeye, kama ana uwezo, kuona viumbe vyake vinataabika.

Na tumeambiwa ana uwezo wote, kwa hiyo ukiunganisha uwezo wote na upendo wote, logically hatutegemei tuone tabu yoyote kwa viumbe wa mungu.

Kwa sababu anawapenda sana (ana upendo wote) na ana uwezo wa kuwaepushia tabu.

Kwa nini tunaona dunia yenye tabu nyingi?

Mungu anajipinga yeye mwenyewe, sio kwa sababu hafanyi kama ninavyotaka mimi.

Bali kwa sababu upande mmoja, huu wa kuweza yote na kuwa na upendo wote hauendi sawa na upande mwingine wa kuumba ulimwengu ambao tabu, mateso na mabaya mengi vinawezekana.

HGujajibu swali la kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya na tabu vinawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu mabao mabaya na tabu haviwezekani.
 
kunya na kukojoa

Kabla hujanya wala kukojoa inabidi uamini kwamba stendi ya mwisho ya utumbo wako au dhakari yako vitapitisha uchafu.

Bila kuamini huwezi hata kuanza kujaribu.
 
Sijawahi kukusikia hata siku moja unamlalamikia Mungu kwa nini alikuumba bila ridhaa yako, au kama hakukuumba yeye, sijawahi kukusikia unalalamika kwa nini upo bila kuwa na ridhaa ya uwepo wako, achilia mbali issue zigine ndogondogo mfano kama kuwa una macho mawili tu yanayoona kwenye uelekeo mmoja kwa wakati mmoja, ktu ambacho pengine ungekuwa nayo manne yanayoona sehemu zote (360 degrees field of view), au hayo mawili uiyonayosasa yangekuwa yako positoned moja mbele moja nyuma. Moreover, a second ahead of you hujui nini kitatokea hapo ulipo halafu at the same time unatamani kumcomprehend Mungu wakati hata wewe mwenyewe hapo ulipo hujijui 99.9999%

Kama hujawahi kusoma nikiuliza kwa nini mungu kaniumba bila ridhaa yangu, ni kwa sababu hunisomi kwa makini tu.

Hilo lishawahi kuwa swali kwa waliodai kwamba mungu anapenda free will.

Nikawauliza, kama mungu kweli anapenda free will, kwa nini hajaniuliza kama nataka kuzaliwa au la?
 
Mh wallah ninyi mpo kwenye giza hamjui muendako wala mtokako na mnaweza kukufuru sasa ngoja niwape ufupi wa majibu ya maswali yenu ,.Mwenyezimungu kabla hajaumba mwanadamu hii dunia ilikuwa inatawaliwa na majini ambao wameumbwa kwa cheche za moto hao majini walipewa utaratibu jinsi ya kumuabudu muumba wao lakini wengi wao walijalibu kumuhasi muumba wao na kufanya machafu mbalimbali yaliyo mchukiza mwenyezimungu ndipo mwenyezimungu akaamua kuleta jeshi la malaika kuja kupambana na majini kipindi hicho kabla mwanadamu hajaumbwa ndipo wale majini walianamizwa na wengine kukimbia kuna ambao walikimbilia baharini,kwenye miti mikubwa,misituni,na wengine vyooni hadi leo hii lakini kulikuwa na jini mmoja ambae alikuwa anamwabudu mwenyezimungu ipasavyo ndipo wale malaika wakamchukuwa yule jini na kwenda nae mbinguni ivo basi mwenyezimungu ambae ameumba mbingu saba na ardhi saba pasina nguzo ndipo akaamua kumuumba mwanadamu kwa udogo alipo kwisha tayari kumuumba mwanadamu akawambia malaika nimemuumba mwanadamu ambae ataenda kuishi Duniani ndipo malaika wakasema huyo kiumbe ni thaifu atakwenda kukuhasi wew huko duniani na atakwenda kufanya kila aina ya zambi huko duniani na ataenda kumwaga damu bila ya sababu, maana majini walikuwa wanajuwa mambo yatakayo tokea baadae lakini kwa uwezo wa mwenyezimungu ndipo mwenyezimungu akawajibu kuwa mimi ninajua zaidi kuliko nyinyi pia huyu mwanadamu anajua zaidi kuliko nyinyi ndipo mwenyezimungu akaleta baadhi ya vitu mbele ya malaika akawaamulisha wavitaje kwa majina vitu vile ndipo wakasema hawavijui hakika mola wetu ndie mjuzi ndipo mwenyezimungu akamleta Adam mbeleyao na akamwamlisha avitaje vitu vile kwa majina ndipo akavitaja vyote bila ya kushindwa malaika wale pamoja na yule jini mmoja walikuwa pamoja basi mwenyezimungu akaamlisha wamsujudie Adam yaani kama kumpongeza tu Adam huyu ndie ikawa chanzo cha kupatikana hawa ambae ametokana na ubavu wa Adam na kuanza kuzaliana hadi leo hii na mwenyezimungu akaleta utaratibu jinsi ya kumuabudu
 
Sio kwamba nasema anajipinga kwa kutofanya vile ninavyotaka.

La hasha.

Tumeambiwa mungu ana upendo wote.

Maana yake upendo huu hautaruhusu yeye, kama ana uwezo, kuona viumbe vyake vinataabika.

Na tumeambiwa ana uwezo wote, kwa hiyo ukiunganisha uwezo wote na upendo wote, logically hatutegemei tuone tabu yoyote kwa viumbe wa mungu.

Kwa sababu anawapenda sana (ana upendo wote) na ana uwezo wa kuwaepushia tabu.

Kwa nini tunaona dunia yenye tabu nyingi?

Mungu anajipinga yeye mwenyewe, sio kwa sababu hafanyi kama ninavyotaka mimi.

Bali kwa sababu upande mmoja, huu wa kuweza yote na kuwa na upendo wote hauendi sawa na upande mwingine wa kuumba ulimwengu ambao tabu, mateso na mabaya mengi vinawezekana.

HGujajibu swali la kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya na tabu vinawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu mabao mabaya na tabu haviwezekani.

Kwa hiyo wewe kuelewa mungu yupo? hadi ageumba kama unavyotaka wewe?
 
Mh wallah ninyi mpo kwenye giza hamjui muendako wala mtokako na mnaweza kukufuru sasa ngoja niwape ufupi wa majibu ya maswali yenu ,.Mwenyezimungu kabla hajaumba mwanadamu hii dunia ilikuwa inatawaliwa na majini ambao wameumbwa kwa cheche za moto hao majini walipewa utaratibu jinsi ya kumuabudu muumba wao lakini wengi wao walijalibu kumuhasi muumba wao na kufanya machafu mbalimbali yaliyo mchukiza mwenyezimungu ndipo mwenyezimungu akaamua kuleta jeshi la malaika kuja kupambana na majini kipindi hicho kabla mwanadamu hajaumbwa ndipo wale majini walianamizwa na wengine kukimbia kuna ambao walikimbilia baharini,kwenye miti mikubwa,misituni,na wengine vyooni hadi leo hii lakini kulikuwa na jini mmoja ambae alikuwa anamwabudu mwenyezimungu ipasavyo ndipo wale malaika wakamchukuwa yule jini na kwenda nae mbinguni ivo basi mwenyezimungu ambae ameumba mbingu saba na ardhi saba pasina nguzo ndipo akaamua kumuumba mwanadamu kwa udogo alipo kwisha tayari kumuumba mwanadamu
tunaomba source.
 
Mh wallah ninyi mpo kwenye giza hamjui muendako wala mtokako na mnaweza kukufuru sasa ngoja niwape ufupi wa majibu ya maswali yenu ,.Mwenyezimungu kabla hajaumba mwanadamu hii dunia ilikuwa inatawaliwa na majini ambao wameumbwa kwa cheche za moto hao majini walipewa utaratibu jinsi ya kumuabudu muumba wao lakini wengi wao walijalibu kumuhasi muumba wao na kufanya machafu mbalimbali yaliyo mchukiza mwenyezimungu ndipo mwenyezimungu akaamua kuleta jeshi la malaika kuja kupambana na majini kipindi hicho kabla mwanadamu hajaumbwa ndipo wale majini walianamizwa na wengine kukimbia kuna ambao walikimbilia baharini,kwenye miti mikubwa,misituni,na wengine vyooni hadi leo hii lakini kulikuwa na jini mmoja ambae alikuwa anamwabudu mwenyezimungu ipasavyo ndipo wale malaika wakamchukuwa yule jini na kwenda nae mbinguni ivo basi mwenyezimungu ambae ameumba mbingu saba na ardhi saba pasina nguzo ndipo akaamua kumuumba mwanadamu kwa udogo alipo kwisha tayari kumuumba mwanadamu akawambia malaika nimemuumba mwanadamu ambae ataenda kuishi Duniani ndipo malaika wakasema huyo kiumbe ni thaifu atakwenda kukuhasi wew huko duniani na atakwenda kufanya kila aina ya zambi huko duniani na ataenda kumwaga damu bila ya sababu, maana majini walikuwa wanajuwa mambo yatakayo tokea baadae lakini kwa uwezo wa mwenyezimungu ndipo mwenyezimungu akawajibu kuwa mimi ninajua zaidi kuliko nyinyi pia huyu mwanadamu anajua zaidi kuliko nyinyi ndipo mwenyezimungu akaleta baadhi ya vitu mbele ya malaika akawaamulisha wavitaje kwa majina vitu vile ndipo wakasema hawavijui hakika mola wetu ndie mjuzi ndipo mwenyezimungu akamleta Adam mbeleyao na akamwamlisha avitaje vitu vile kwa majina ndipo akavitaja vyote bila ya kushindwa malaika wale pamoja na yule jini mmoja walikuwa pamoja basi mwenyezimungu akaamlisha wamsujudie Adam yaani kama kumpongeza tu Adam huyu ndie ikawa chanzo cha kupatikana hawa ambae ametokana na ubavu wa Adam na kuanza kuzaliana hadi leo hii na mwenyezimungu akaleta utaratibu jinsi ya kumuabudu

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, uwepo pote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unaweza kuwa na majini yatakayomuasi?

Aliuumba huku anasinzia akasahau kuweka kipengele fulani au alikuwa kalewa gongo kidogo?
 
Kwa hiyo wewe kuelewa mungu yupo? hadi ageumba kama unavyotaka wewe?

Mungu mwenye uwezo wote na upendo wote angalau angeumba ulimwengu ulio logically consistent na nature yake.

Ulimwengu huu hauko logically consistent na nature yake.

In fact ukilinganisha ulimwengu huu na nature ya huyo mungu, unapata contradiction.

Unaelewa hilo?
 
swali lako kiranga nilikujibu, nikakwambia hapo mwanzo mungu wakati anamuumba adam na hawa hakukua na majanga kama hyo na dunia ilikuwa kama hyo unayoitaka wewe,

dunia imekuja kuchafuka na kutokea yote haya ni kuasi maagizo ya mungu yaliyosabibishwa na hawa, pamoja na watu kama wewe kiranga.
 
Mzungu alitangulia kuumbwA,kisha mwarabu na wengine,MTU mweusi Wa mwisho
 
Nini si imani?

Binadamu,mnyama,mdudu na ndege. Ukiweza kujua maana ya hayo maneno basi kiumbe chochote utakachokiona utaweza kujua kipo ktk kundi gani, hakutokuwa na haja ya kuambiwa huyu ni mnyama au mdudu.

Hivyo nawe ukijua maana ya Imani ndiyo utaweza kujua kisicho Imani.
 
swali lako kiranga nilikujibu, nikakwambia hapo mwanzo mungu wakati anamuumba adam na hawa hakukua na majanga kama hyo na dunia ilikuwa kama hyo unayoitaka wewe,

dunia imekuja kuchafuka na kutokea yote haya ni kuasi maagizo ya mungu yaliyosabibishwa na hawa, pamoja na watu kama wewe kiranga.

Hujaelewa swali.

Hujalielewa kabisa.

Swali si "Kwa nini dunia ina maovu wakati mungu ana uwezo wote na upendo wote wa kuyazuia".

Laiti swali lingekuwa hilo, hilo unalolisema kwamba ni jibu lingekuwa jibu. Kwamba, mungu aliumba ulimwengu usio na maovu ila binadamu akauchafua.

Swali langu ni tofauti na linaenda kwa kina zaidi.

Swali langu linauliza, huyu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, alipokuwa anaumba ulimwengu, kwa ujuzi wake wote, alikuwa anaweza kuona kila aina ya ulimwengu anaoweza kuuumba na jinsi utakavyokuwa.

Akaona kuna ulimwengu ambao atauumba, utakuja kuwa na shetani na binadamu ataghafilika na kumuasi.

Akaona kuna ulimwengu mwingine ambao hauna shetani wala binadamu kughafilika, ambao hauwezekani kuwa na mabaya.

Alikuwa na uwezo wa kuchagua ulimwengu wowote kati ya aina tofauti za ulimwengu akauumba.

Kwa nini kachagua kuuumba ulimwengu ambao mabaya na tabu vinawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuchagua kuumba ulimwengu ambao mabaya na tabu haviwezekani?

Si ana uwezo wote na upendo wote? Kwa nini hakuamua kuumba ulimwengu ambao mabaya na tabu haviwezekani?

Swali hili hujalijibu.

Na jibu lako ulilolitoa linapwaya, kwa sababu jibu lako linajibu swali tofauti, swali la "kwa nini kuna mabaya?" ambalo ni swali tofauti na swali langu la "kwa nini mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?".
 
Binadamu,mnyama,mdudu na ndege. Ukiweza kujua maana ya hayo maneno basi kiumbe chochote utakachokiona utaweza kujua kipo ktk kundi gani, hakutokuwa na haja ya kuambiwa huyu ni mnyama au mdudu.

Hivyo nawe ukijua maana ya Imani ndiyo utaweza kujua kisicho Imani.

Hujajibu swali.
 
Sio kwamba nasema anajipinga kwa kutofanya vile ninavyotaka.

La hasha.

Tumeambiwa mungu ana upendo wote.

Maana yake upendo huu hautaruhusu yeye, kama ana uwezo, kuona viumbe vyake vinataabika.

Na tumeambiwa ana uwezo wote, kwa hiyo ukiunganisha uwezo wote na upendo wote, logically hatutegemei tuone tabu yoyote kwa viumbe wa mungu.

Kwa sababu anawapenda sana (ana upendo wote) na ana uwezo wa kuwaepushia tabu.

Kwa nini tunaona dunia yenye tabu nyingi?

Mungu anajipinga yeye mwenyewe, sio kwa sababu hafanyi kama ninavyotaka mimi.

Bali kwa sababu upande mmoja, huu wa kuweza yote na kuwa na upendo wote hauendi sawa na upande mwingine wa kuumba ulimwengu ambao tabu, mateso na mabaya mengi vinawezekana.

HGujajibu swali la kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya na tabu vinawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu mabao mabaya na tabu haviwezekani.

"kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya na tabu vinawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu mabao mabaya na tabu haviwezekani."

Hilo ndiyo swali la msingi na lishajibiwa mara kibao,Mungu angetaka angeumba kama hivyo utakavyo sababu anao uwezo huo ila ameamua kufanya hivi kwa makusudia yake(ambayo tushaeleza sana), na yote haya ni uwezo wake. Kama alivyofanya malaika kuwa wanafanya vile atakavyo na si kinyume na hivyo,yote hayo ni uwezo wake.
Hivyo la msingi hapa ni kusudio kama alivyotaka kuwafanya malaika kuwa hivyo walivyo na wakawa.

Kwahiyo hivyo ambavyo wewe ungetaka iwe ni swala la maamuzi yake kwa sababu anao uwezo huo,ila si swala la kwamba upendo wake ndiyo ungemlazimu kufanya hivyo,Upendo wake bado upo haujajipinga.
 
Kiranga kupitia ubishi wako huu wa kukataa mungu hayupo siwezi kukataa umejipatia umarufu mkubwa hapa jf ambao hauna maana mbele za mungu, na umekuwa ukibisha kwa kutumia theory yako ya square root ya 2 ni 8,. ambayo hiyo logical inakupoteza kabsa.

maswali yako kiranga ni ya mtiririko ambayo wewe umeyaita hayana majibu, wakati siyo kweli.

maswali yako ni kuthibitisha kwamba mungu, yupo? ushajibiwa.

ukauliza kwa nini mungu wenye upendo wote huo hakuumba ulimwengu unaofanana na upendo unaozugumzia anao mungu, swali lako lishajibiwa.

ukauliza tena kwa nini watoto wandogo ambao hawana makosa yoyote ambao hawajamkosea mungu na wao yanawapata majanga makubwa huwakuta wakati hawana hata akili ya kumkosea mungu???

kama hujalizika na majibu ya maswali uliyojibiwa niko radhi kurundia kukujibu nakuomba useme unataka tuanze na swali lipi kati ya hayo.
 
Last edited by a moderator:
Hujajibu swali.

Nimekujibu vizuri mno,sababu kwa jinsi swali lako lilivyo hata ningejibu kuwa nyumba si Imani, ningekuwa niko sahihi. Na ndiyo maana kwa hekima nikaamua kukujibu hivyo,maana umeshindwa kuuliza swali vizuri.
 
Kiranga kupitia ubishi wako huu wa kukataa mungu hayupo siwezi kukataa umejipatia umarufu mkubwa hapa jf ambao hauna maana mbele za mungu, na umekuwa ukibisha kwa kutumia theory yako ya square root ya 2 ni 8,. ambayo hiyo logical inakupoteza kabsa.

maswali yako kiranga ni ya mtiririko ambayo wewe umeyaita hayana majibu, wakati siyo kweli.

maswali yako ni kuthibitisha kwamba mungu, yupo? ushajibiwa.

ukauliza kwa nini mungu wenye upendo wote huo hakuumba ulimwengu unaofanana na upendo unaozugumzia anao mungu, swali lako lishajibiwa.

ukauliza tena kwa nini watoto wandogo ambao hawana makosa yoyote ambao hawajamkosea mungu na wao yanawapata majanga makubwa huwakuta wakati hawana hata akili ya kumkosea mungu???

kama hujalizika na majibu ya maswali uliyojibiwa niko radhi kurundia kukujibu nakuomba useme unataka tuanze na swali lipi kati ya hayo.

Hujajibu swali.

Kwa nini mungu wenu hayuko consistent logically?

Huku ana uwezo wote na upendo wote, huku anaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana?

Alishindwa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani?
 
Back
Top Bottom