Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Aug 30, 2011 #1 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mnyampaa JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 244 Reaction score 58 Aug 30, 2011 #2 Tumshukuru Mungu mambo haya kwetu ni nadra sana. Kwa hali tuliyonayo sijui nchi yetu ingekuwa katika hali gani iwapo majanga kama haya yangetukumba
Tumshukuru Mungu mambo haya kwetu ni nadra sana. Kwa hali tuliyonayo sijui nchi yetu ingekuwa katika hali gani iwapo majanga kama haya yangetukumba
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Aug 30, 2011 #3 nilijua unamwongelea irene kiwia au ngowi kumbe dhahama duu hii balaa sasa.. nasikia bado kingine kitaitwa chenyewe hurricane Sikujua..
nilijua unamwongelea irene kiwia au ngowi kumbe dhahama duu hii balaa sasa.. nasikia bado kingine kitaitwa chenyewe hurricane Sikujua..
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,254 Aug 30, 2011 #4 Wenzetu shida ndizo zimewafanya waendelee nasi amani imekuwa sababu tosheleza ya kudumaa kimaendeleo...........
Wenzetu shida ndizo zimewafanya waendelee nasi amani imekuwa sababu tosheleza ya kudumaa kimaendeleo...........