Rockboythegreat
New Member
- Mar 9, 2013
- 1
- 0
Baada ya wiki mbili za haarusi Mama mtu alimuuliza mwanawe wa kike, Vp maisha ya ndoa? mtoto akajibu Duh! mama kama British Air Ways, mama mtu akatoka mpaka AIRPORT akaenda kuangalia ratiba akakuta kwa wiki mara saba na ktk kila siku moja inaenda trip tatu na katika kila trip moja inasimama vituo saba, mama mtu palepale akazimia. Je kwa nini mama mtu alizimia?????????:bump2::bump2: