Mambo ya foleni

Mambo ya foleni

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1415103833631.jpgisitafsiriwe na mambo ya ushoga nitapigwa ban chondechonde watakaovutiwa kuchangia! binafsi sina maana hiyo, nimetoa angalizo mapema
 
Huyo wa nyuma ameshika hadi kiuno foleni haiendi...
 
Unikalie hivyo nyuma yangu nakusukuma.

Hata kama tunajuana sio kihivyo, kubahashiana
 
duh hiyo siyo foleni kuna kitu hapo
 
Foleni iko wapi hapo au ameshakariri kubanana kwe madaladala
 
Hiyo naona ni obama style tena inaenda kisaelens kama konokono bila kushutukaga
 
Hata kama umeweka note, ila foleni haiwi watu wawili, hapa pana kamchezo mwengine
 
huyu nae ndio nini kumsimamia mwenzake namna hiyo?
 
Back
Top Bottom