mambo ya foleni....

mambo ya foleni....

Hakuna cha tatizo hapo! Chezeiya bundle weye!

Kungekuwa na njia ya kutuma bundle kwa bluetooth ningekuomba unijazie la kutosha. Coz hadi wakati na reply post yako nimeishiwa bundle na ndo maana nimeweza kukujibu(asomaye na aelewe)
 
You real are, a great thinker uligundua vp kama kifurushi kiliisha? Tehteh!
Kuna tatizo kidogo wakati wa ku upload

nakuenjoy mr Q,Mi mwenyewe huwa nashindwa daily ku upload picture...sijui kina mbuzi mzee,figaniga na boflo wanafanyaje?
 
nakuenjoy mr Q,Mi mwenyewe huwa nashindwa daily ku upload picture...sijui kina mbuzi mzee,figaniga na boflo wanafanyaje?

Well said mkuu. kwenye thread yangu ya kwanza, jukwaa la utambulisho niliweza ku upload picha kwa ajili ya sweetlady aliyenikaribisha na kunikosoa kimaandishi kwenye post #1 lakini leo imeshindikana.
Hop next time.
MODS KAMA WATAPITA HAPA TAFADHALI WAUFUNGE UZI HUU
Na atakaye reply baada ya hapa atakuwa halitendei haki jukwaa kwa sababu hakuna picha. OVER
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom