mambo ya foleni....

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
16,136
33,468
usiombe kukutwa na foleni katikati ya jiji wakati huohuo mambo flani yameku bana unaweza jikuta kama huyu jamaa.
 
usiombe kukutwa na foreni katikati ya jiji wakati huohto mambo flani yameku bana unaweza jikuta kama huyu jamaa.

Jamaa gani Mr Q ?

Afu hapo red hicho ni kiswahili au kijapani?
 
Last edited by a moderator:
Jamaa gani Mr Q ?

Afu hapo red hicho ni kiswahili au kijapani?

Kiambatanisho kimegoma ndo maana huoni picha
Kwenye red ni makosa ya kiuandishi. Ngoja ni hariri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom