Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 728
Yego Indume Yene,![]()
Jaribu kuangalia hiyo picha kwa makini na kisha soma maelezo chini yake (Highlighted). What do you think mambo ya family value?
Huyo wa kushoto ni Mwampamba kama sikosei.
Yego Indume Yene,
Huyo jamaa wa upande wa kulia mbona anafanana na Fadhil Nkulu?.
Mkuu,
Hayo ndiyo mambo ya family value, that's how people make their end meet in cities.