kila kona. Hadi inafikia kipindi wakiniomba nawauliza km wana chenchi ya elfu kumi ili niwapatie. Maana utashangaa anakuomba wewe una buku tano tu huku yeye ana kilo ndani ya kububu.

Yani bado unawasaidia. Mi nimeshajitoa ufahamu kuwapa hao watu, nimeshawai kuumpa ela mzee mmoja , jioni na mkuta Chaduru anapata pombe ya kienyeji. Ombaomba wengi Dodoma wanaenda na target . kuna moja yeye anakwambia esabu yake kwa siku elfu 20.