peterwapeter
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 529
- 269
Chipumbu
Ndio wapi hapo?
Chipumbu
Mmh km sijawah checkMvumi misheni hadi dom mjini ni kilometa ngapi?
km 73,ila kwa ndege za usiku ni sekunde 8!Mmh km sijawah check
Ila ni mwendo Wa Masaa 3 had nne maana njia ni vumbi
ahsante,mana nmesikia wanatibu magonjwa sugu kama fangasherbal chilinic?iko mtaa wa kisasa huku
Ng'oxy sio!?Ng'ong'ona