englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Huyu dada wa nyumbani atakua kama wakwangu hapa alipalia mayai mkaa kama ubwabwa.
hahaha angalia asikuloeke na jiki ili utakate na madoa yatoke....Hehehehe dah mbavu zangu !! hata sikoment hapa , dada wa kazi achelewi kunifua akanianika... :clap2: