mambo ya dada wa kazi

mambo ya dada wa kazi

​LoL! Hahahahaha 🙂🙂
 
Mmmmmmhhh hata sijui ntafanyaje kwakweli lol!
 
alikuwa mgeni mama mwenyenyumba kamuachia maagizo afanye usafi chumbani. Msichana wangu wa kazi alitoka kijijini, niliweka nanasi na nazi stooni akamuuliza binti yangu hicho ni kitu gani. Siku nilikuta pampas imefuliwa na kuanikwa kambani.
 
Back
Top Bottom