Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Mbali na kukoment kwanye thread kama hizi lakini huwa sipendi hata kuziangalia japo ulichoandika kimenigusa sana.Hapo ndipo ninapojiuliza swali moja ambalo huwa nakosa majibu, mwanaume kavaa suti na tai juu we mwanamke unaenda kuvaa chupi!! Hiyo ni akili kweli??
Hata shooting za nyimbo zao ziko hivyo hivyo then hao hao wanasimama majukwaani eti wanalalamika wanadhalilishwa na wanaume!! Dooooh....!!
Aisee huyo wa kushoto amebinuka vizuri ukimkamata unapiga mzigo sawa sawa
Aisee huyo wa kushoto amebinuka vizuri ukimkamata unapiga mzigo sawa sawa
Mchizi kaificha wapi dushe. Au ndo kujikaza kisabuni