Mambo ya ajabu uliyowahi kufanya ukiwa shule ya msingi


Demiss

Demiss

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Messages
26,541
Likes
48,188
Points
280
Demiss

Demiss

JF-Expert Member
Joined May 4, 2017
26,541 48,188 280
Habari zenu wana Jf

Nakumbuka nikiwa shule ya msingi nilikuwa na tabia ya kuwapiga watoto wa walimu endapo huyo Mwalimu alinipiga lazima nimvizie mtoto wake nimpe ngumi ya nguvu.

Nikitumwa kuchota maji kwa Mwalimu ambaye simpendi lazima nitemee mate .

Naombeni mnisamehe natubu dhambi zangu .Msema kweli mpnz wa mungu walimu kuweni makini na wanafunzi jaman.

Mapovu ruksa kesho nina kazi ya udobi.
 
The Transporter

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,118
Likes
2,472
Points
280
The Transporter

The Transporter

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,118 2,472 280
Zamani sie wahenga tulikuwa tunafanya graduation baada ya kufanya mtihani nakumbuka nilimpiga mwalimu mmoja ambae sikuwa nampenda yai viza
 
youngkato

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
2,718
Likes
1,647
Points
280
youngkato

youngkato

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
2,718 1,647 280
Nakumbuka ilikuwa mwaka mpya tuliiba kengere ya shule tukaipeleka bondeni kwenye chaka...
Ilikuja kupatikana baada ya mwezi.

Tabia ya kurusha mawe juu ya bati kwa walimu wakorofi.

Ilikamatwa barua namwandikia demu kumtongoza darasa la tatu
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,797
Likes
9,197
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,797 9,197 280
Inaonekana umesoma kayumba sisi wa medium hatujafanya ujinga wa ivyo
 
A

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
292
Likes
211
Points
60
A

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
292 211 60
Mimi nilikuwa nawaibiaga mifagio wenzangu nikakusanya mifagio ya chelewa takriban 60. Nikaiunganisha nikaifungasha pamoja kuna dada mmoja anaitwa SINA alikuwa pande la mtu likaja kijiweni kwetu likanipiga kikumbo kimoja tuu mie huyo chini likachukua lile bunda la mifagio yoote likasepa shule nzima wakawa wananizomea mimi
 
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
6,216
Likes
7,411
Points
280
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
6,216 7,411 280
Mimi nilipokuwa darasa la 3 nilikwenda shuleni na ulanzi au ulasi watu wa iringa mnaujua nilipokamatwa nao niliadhibiwa waliponiacha nikakimbilia nyumbani ile kurudi na gobore la babu begani mbona shule ilifungwa kwa muda hapa ni ukweli mtupu sitanii nilimsababishia babu matatizo makubwa sana japo alikuwa colonel mstaafu ila alisumbuka sana
 
Glasnost

Glasnost

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Messages
205
Likes
185
Points
60
Glasnost

Glasnost

JF-Expert Member
Joined May 18, 2017
205 185 60
Habari zenu wana Jf

Nakumbuka nikiwa shule ya msingi nilikuwa na tabia ya kuwapiga watoto wa walimu endapo huyo Mwalimu alinipiga lazima nimvizie mtoto wake nimpe ngumi ya nguvu.

Nikitumwa kuchota maji kwa Mwalimu ambaye simpendi lazima nitemee mate .

Naombeni mnisamehe natubu dhambi zangu .Msema kweli mpnz wa mungu walimu kuweni makini na wanafunzi jaman.

Mapovu ruksa kesho nina kazi ya udobi.
Umesoma boarding?
 
AbraDaVinci

AbraDaVinci

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
512
Likes
277
Points
80
AbraDaVinci

AbraDaVinci

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
512 277 80
Machimbo wenzangu tupo wale wa kutoingia class na kujisahihishia na peni nyekundu.Tulikuwa tunakutuna kwa bikob*ro mtaalam wa kupika mihogo hapo ndio machimbo(majonzi) hatukosekani kizinga Primary Xul
 
BangiNyeusi

BangiNyeusi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Messages
437
Likes
465
Points
80
Age
22
BangiNyeusi

BangiNyeusi

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2016
437 465 80
Nmefanya mengi saana yani nikikumbuka hua nacheka tu....
 
supercharger GT

supercharger GT

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
512
Likes
609
Points
180
supercharger GT

supercharger GT

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
512 609 180
Kuna dem wa darasa la sita aliniandikia barua ya mapenzi mm nikiwa darasa la 4, nkaipeleka kwa mwalimu mkuu....yule dem alichapwa mbele ya shule nzma....mpaka leo nikikumbukaga hili tukio najiona udomo zege nilizaliwa nao
 

Forum statistics

Threads 1,214,464
Members 462,703
Posts 28,513,631