Mambo ya ajabu niliyoshuhudia msibani

Sio kweli, yule ni rafiki yetu wa karibu sana ndio maana tumekua naye mwanzo mwisho, alafu hata sio wa kishua ni kawaida sana. Nimaona kwakua ishu imetokea karibia na weekend isingeathiri sana ratiba zangu za masomo.
wewe mtu ana ku reject bado unaendelea kujipendekeza kama sio uchawa ni nini
 
Wababa mmesikia mnaojifanya mnauzungu mwingi. Bila shaka uyo rafiki yako atakuwa mwaka wa kwanza nadhani huko chuoni kwenu hamjasoma somo la ethics conduct hebu nipe namba ya uyo rafiki yako inbox nikamfundishe.
 
Waliwatenga sababu mmejua siri ya familia yao mpk huko Moshi
 
Haijawahi kukutokea ndio maana unaongea utopolo ngoja ije ikutokee ndio utajua hujui
 
Nimesoma hapo umesema rafiki yako alikuwa na mchumba,

Vipi na mimi nikitaka huo uchumba kwako nafasi ipo?
 
Huyu ni muongo, tena mchonganishi
Oyaa ulilala msibani siku tatu, ukasafirisha mwili kisha ukazika. Huo muda ulitoa wapi wakati chuo masomo yanaendelea.
Mimi siwezi kaa siku tano bila kufika chuo, sanasana nikitoka Ijumaa usiku narudi Jumapili mchana.
 
duu. Hawa watoto wapo wengi sikuizi. tunawaita wa ushuani au wamagetin ukute anajua na kingereza utachoka
 
Rafki ako ni wa mwaka 2000? Kwa kuzaliwa??
 
Kitu kama hii niliwah kuiona kwa watoto wa mum dogo,alkuwa na watoto wawili wa kike
 
halafu vijana wetu wakikataa kuowa mnawacheka....ooohh hawawezi kulea.....wazazi wake wameshindwa kumlea wakina budadi wataweza kweli......?????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…