LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,507
Siku ya kwanza tu ingetosha kuhudhuria kwa kubip huo msiba.,mtoa mada ni chawa wa hao watoto wa kishua kifupi ni mtoto wa mbwa ndio mana aliweza kuvumilia izo shida zote
Siku ya kwanza tu ingetosha kuhudhuria kwa kubip huo msiba.,mtoa mada ni chawa wa hao watoto wa kishua kifupi ni mtoto wa mbwa ndio mana aliweza kuvumilia izo shida zote
Mfano ukipata msiba wa mtu wako wakaribu, pia hutaweza kukaa siku tano bila kufika chuo, we unaongea tu mzee, watu wanakaa hata week kutokana na changa moto na chuo masomo yanaenda kama kawaida mzee, hofu ya chuo tu hiyo mzeeOyaa ulilala msibani siku tatu, ukasafirisha mwili kisha ukazika. Huo muda ulitoa wapi wakati chuo masomo yanaendelea.
Mimi siwezi kaa siku tano bila kufika chuo, sanasana nikitoka Ijumaa usiku narudi Jumapili mchana.
Watu tulikua hatuwendi wiki mbili na wala hatupo msibani wala wapi, tunangalia movie,series na games..sasa msiba ndio wala hatuwaz, ww msuli sana usipoingia lecture uwezi elewa, tulia mkuuOyaa ulilala msibani siku tatu, ukasafirisha mwili kisha ukazika. Huo muda ulitoa wapi wakati chuo masomo yanaendelea.
Mimi siwezi kaa siku tano bila kufika chuo, sanasana nikitoka Ijumaa usiku narudi Jumapili mchana.
Eti binadamu ni " AssetKusema kwamba binadamu ni asset?
Mkuu bado hujawajuwa hawa binadamu vizuri na jinsi mind zao zinavyofanya kazi.


Mambo ya familia za watu waachie wenyewe
nitakuongeza na chapati 2Nikisema hii ni chai utajiskiaje!!
Itakuwa umbebobea katika hizo games na movies ndio maana unaandika maneno ya hivi katika Kiswahili: "hatuwendi", "uwezi".Watu tulikua hatuwendi wiki mbili na wala hatupo msibani wala wapi, tunangalia movie,series na games..sasa msiba ndio wala hatuwaz, ww msuli sana usipoingia lecture uwezi elewa, tulia mkuu
Hahaa mkuu ni wasiloamu haoDuh aibu kwlkwl ,mie nilihudhuria msiba wa haya madhehebu ya kiroho baadhi ya masharti mi kutokulia unapofiwa,marehemu ameenda kupumzika halafu na wewe utake usitake utakufa tu ndio yalikuwa madai yao kwnn usilie,basi ulikuwa msiba wa wameru wakavumilia sana sana vijisheria visivyoeleweka ikiwemo kutokutamka marehemu amefariki unatakiwa useme ametwaliwa,Mara gari wanaita punda,majina yao Mara waumini wanaitana kama kwa code unakuta MTU anaitwa Jiwe kuu,Upendo wa madhabahu Mara Adamu wa pili nk. Wameru wakatulia tuliii ikafika SAA ya mahubiri mchungaji akaiambia hadhira bila kupepesa macho hivi mnaolia mnalilia nn? Nashangaa SAA mkizini hamlii mnakuja kulia msiban' Duh Mimi binafsi nikajiuliza hivi haya ninayoyasikia kaongea kwl au? Mara kukazuka vurugu Weee wameru walisimama ulitokea ugomvi katikati ya ibada mchungaji ma waumini wake woote wakatolewa nje wao waumini walikuwa wamevaa mavazi meupe duhhh kilichoendelea msiniulize Ila marehemu alizikwa .ni kwl mkuu mambo haya na visanga kama hivi vipo.
Kadadaa uko chuo cha uandishi wa habari? If no fikiria upya
Nikitoka siku nyingi lazima niwe na jambo la msingi na linalonigua zaidi.Mfano ukipata msiba wa mtu wako wakaribu, pia hutaweza kukaa siku tano bila kufika chuo, we unaongea tu mzee, watu wanakaa hata week kutokana na changa moto na chuo masomo yanaenda kama kawaida mzee, hofu ya chuo tu hiyo mzee