Mambo ya ajabu niliyoshuhudia msibani

Mambo ya ajabu niliyoshuhudia msibani

Wewe mleta mada ndio nakushangaa, tatizo lako umeishi kwa kukariri sasa umeona kitu tofauti unaona ni kosa, guu kwako ni ushamba, tembea maeneo tofauti uone mambo yanavyokwenda.

Suala la wahudhuriaji msibani kuwa wengi au wachache nalo kwangu halina maana, na zaidi hata hilo suala la kusema kwasababu walikuwa hawadhurii kanisani ndio maana wakakosa mchungaji sijui padre wa kuwazika nalo kwangu pia halina maana, hizo ni sheria za kanisa sio za Mungu, kama unaamini hizo sheria zina maana basi tuambie hapa Yesu alikuwa dhehebu gani?

Huyo mchungaji hawezi kumuondolea dhambi baba yake na rafikiyo hata kama akiendesha misa ya maziko, hilo walilofanya hao wachungaji sijui padre ni kuwahukumu hiyo familia ya rafiki yako wakati tumeambiwa tusihukumu tusije hukumiwa, hukumu ya haki iko mbinguni pekee.

Hao wachungaji wanajiona wako vizuri wakati nao siku ya mwisho wanaweza chomwa moto tu, kwani imeandikwa sio kila anaesema Bwana Bwana atauona ufalme wa Mungu, wachungaji/ mapadre kukataa kuzika ni siasa tu zimeingia makanisani, tumeona "wazito" wengi wanazikwa hata km walikuwa hawaendi makanisani.

Masuala ya kuzikwa na mchungaji, kuhudhuriwa mazishi yako na watu milioni mbili nk ni mbwembwe za ulimwenguni tu, haziisaidii chochote roho inayosubiri hukumu, tusidanganyike na vya ulimwengu huu.

Mwisho, huyo rafiki yako ana haki ya kumkataa huyo kaka yake kwasababu baba yake hakuwai kumwambia kama ana kaka, hilo sio kosa la binti ni kosa la mzazi baba, angempanga mapema huyo rafiki yenu hilo la kumkataa kaka yake lisingetokea.
 
Habari za wakati huu wana JF, kwanza kabisa nachelea kusema kwamba mm ni mgeni humu JF kwa maana kwamba huu ndio uzi wangu wa kwanza. Lkn nimekua nikifuatilia Jamii Forum kuanzia mwaka 2017 ambapo nimekua naingia tu kusoma thread mbalimbali lakini sikua nimejiunga mojamoja. Nimekua nikimfuatilia sana Mshana mpaka muda mwingine nikawa nakosa usingizi kwa ajili ya nyuzi zake za kuogofya

Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni kwamba majuzi ulitokea msiba chuoni kwetu ambapo rafiki yetu alifiwa na baba yake mzazi. Sisi kama marafiki tulipata taarifa za ugonjwa wa mzee na tukanunua matunda na kwenda kumuona ambapo tulifanikiwa kumuona mzee na hali yake haikua mbaya sana kwa maana aliweza kutoka mwenyewe nje na kuota jua.

Baadae kweye mida ya saa sita usiku tukapata taarifa kwamba baba wa rafiki yetu hatupo naye tena, sisi kama marafiki tukaenda msibani kumfariji mwenzetu ambapo sio mbali sana na tunapoishi. Sasa vimbwanga kutoka kwa rafiki yetu vikaanzia hapa. Kabla sijaenda kuelezea zaidi ningependa wasomaji wafahamu kwa uchahe kuhusu huyu binti.

Ni binti mrembo ambaye ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wa tatu wa mzee huyo, ikiwa wote ni wa kike. Ana umri kati ya miaka 21 na 22, uzungu umemtawala huyu binti na mpaka darasani watu wamemchoka kwa sbb ya tabia zake za ujuaji na watu wakifanya presentation huwa anakosoa kwa kejeli sana. Kutoa vicheko vya ajabu hata kama kitu hakichekeshi sana, kwa kifupi ni mjuaji na mnoko sana. Ni mchonganishi amejaribu kusambaratisha urafiki wetu mara nyingi sana lkn ikashindikana kwakua tumeshamjua kwaiyo tukawa tunampuuzia.

Sasa bwana picha linaanza tunafika msibani hamna watu kbsa, tukasema inawezekana bado ni mapema labda watu wengi hawana taarifa. Watoto wamevaa vipensi msibani na vitopu bila hata braa, huyu rafiki yetu alilia kdg sana alipokutana na boy friend wake baada ya hapo dada ni mkavu kama hakuna kilichotokea.

Mama mtu naye alikua analia kwa kuomboleza, maneno kibao mara oooh amewasamehe waliomkosea, mume wangu alitubu sala ya toba, alisema kuna gari inakuja kunichukua, kasema watt wangu wasome, yaaani maneno mengimengi tu.

Mm na rafiki yangu mmoja ambaye tulifanikiwa kufika kwa usiku ule tukalala kwenye Mkeka just kujiegesha. Yule rafiki yetu mfiwa akaanza kuongea, oooh walikua wanamtenga sana baba yangu baada ya baba kudhulumiwa pesa zake akafirsika wakaanza kumtenga na kumuona sio wba maana tena, misiba walikua hawamuambii yaaani kwakifupi walitutenga familia nzima.

Kesho yake ikafika watt bado wamevalia vipedo, tukamwambia yule rafiki yetu, ambaye ndio firstborn awaambie wadogo zake wavae magauni au hata kanga na yy pia ajistiri, tukaanza kufokewa, “hey guys leave me alone, navaa ninavyojiskia sitaki mtu yyte anipangie cha kuvaa maana hata nikivaa hayo madera dady hawezi kuamka. Tukaishiwa pozi, hatujakaa sawa wakatufuata wababa wawili, wakasema nyie hebu muambieni rafiki yenu ajistiri yy na wadogo zake wanatutia aibu sana, kwenda kumuambia akasema waambieni hao wababa waje kunambia wenyewe sitaki makelele mimi. Aisee ikabidi tuache mambo kama yalivyo.

Cha kushangaza ni kwamba binti anacheka vicheko kama yupo bar tena hata hajistukii sisi marafiki na baadhi ya watu waliofika pale wanabaki wanashangaa. Wanafunzi wenzetu wakafika kumpa pole bidada wakamkuta yupo busy na kiboyfriend chake wanafumuana nywele. kibaya zaidi anafuraha anacheka anazunguka tu na kitopu chake na bra linaonekana wala hana habari, lkn this time alijifunga kanga maana wamama walimfokea sana.

Ndugu zangu Naomba tu niwakumbushe kwamba hakuna asset nzuri kama watu. Ukiwa karibu na watu itakusaidia sana maana hii dunia llte linaweza kutokea kwa wakati wowote. Huwezi amini yule mama alikua peke yake kbsa, watoto wako busy na viboy friend, tukajiuliza inamaana hakuna hata majirani? Na pale ni nyumbani kwao sio kwamba wamepanga, ila watu hamna kbsa.

Siku ya pili ikafika tukawa tunaendelea na shughuli za hapa na pale sisi kama watoto wakike tukawa tunaosha vyombo, usafi wa hapa na pale na kupika chai. Usiku huu hamna kbsa mtu aliyekatiza pale msibani, yaaani tulikua sisi watu wanne ambao ni wanafunzi tu, inamaana tusingekuepo wangekua wako peke yao kbsa. Bidada akaanza kutuamrisha kama watoto wadogo, fulani kalete hiki, wewe kaninunulie hiki, chukueni nguo mfue yaaani tumefanywa kama watoto wadogo.

Siku ya tatu ikafika wanafamilia kdg wakaanza kukaa vikao kwa ajili ya kusafirisha maiti, na sisi kama marafiki tukaona sio mbaya tumsindikize mwenzetu Moshi kwa ajili ya kwenda kumpumzisha baba yake hata kama anatabia za ajabu lkn hakuna jinsi ilibidi tumshike mkono mwanzo mwisho. Usiku ule wakaita msusi wakasukwa vzr na wakasisitiza wapendeze sana kimoyomoyo nikasema hizi nguvu za kusema nisuke nipendeze sijui wanazitoa wapi Mungu wangu.

Siku ya kuaga mwili ikafika ambapo jioni hiyo hiyo tukaanza safari ya kwenda Moshi, kama kawaida watu ni wachache sana, wanafunzi ndio asilimia kubwa waliojaza viti pale msibani.

Sasa tukawa tunajiuliza Mbona hamna kiongozi wa dini aliyekanyaga hapa? Kumbe familia nzima walikua hawahudhurii kanisani sio baba, mama au watoto, yaaani uzungu mwingi vingereza kibao na kujitenga na Jamii. Siku ya kuaga mwili wakamuomba Mchungaji aje kwa ajili ya ibada, sijui hata walimtoa wapi. Akaongoza ibada na hatimaye Mwili ukasafirishwa na yule mchungaji akiwepo.

Kwenye gari wakati wa safari binti anaropoka njia nzima, mara Dady tunakupeleke moshi, mara usiweke begi lako kwenye jeneza la baba yangu toaa, hapo anaongea na baba mtu mzima kbsa, mara mm ndio konda nachangsha nauli, yaaani mpaka kuna baba akauliza “huyu binti amekunywa pombe” sisi tunaona aibu mpaka basi. Tulivyokaribia Moshi akaaanza guys karibuni kwetu, jiskieni mpo nyumbani tena anaongea kwa sauti gari zima watu wanatingisha vichwa kwa ajili ya tabia za huyu rafiki yetu.

Hatimaye tukafika Moshi Salama na ilikua ni asubuhi kama saa mbili hivi, kama kawaida na kule watu hamna yaaani tukajikuta ni sisi tu tuliotoka Dar na badae wakaja majirani wachache na wageni wengine wakafika kutoka Arusha, watoto wamevalia suruali nyeusi na tshet nyeusi sare,vichwa wazi ili nywele zionekane, tumejaribu kuwanunulia madera wamegoma kuvaa mitandio tumewafunga kichwani tulivyotoka nje wakavua.

Ibada ikaanza baada ya mwili kuagwa na hatimaye historia fupi ya marehemu ikasomwa, hapa ndio mtiti ulipoanzia. Mzee alikua msomi mzuri tu na alienda hadi nje nafkiri hii pia ilichangia kwa yeye kuchelewa kuoa maana binti yake wa kwanza wa ndoa ni huyo rafiki yetu ambaye anamiaka 21 na yy marehemu alifariki akiwa na miaka 69.

Wakati historia fupi inasomwa msomaji akasema marehemu aliacha mke na watoto . Kimoyomoyo nikasema there must be something wrong. Kwa nn hakutaja idadi ya watoto? Muda ukafika baba wa marehemu akapewa nafasi ya kusimika viongozi wapya according to Chagga tribe, kwa mara ya kwanza mm ndio nimehudhuria mazishi ya kichaga kwahivyo vitu vilikua vigeni kwangu.

Baba mzazi wa marehemu akasema mwanaye aliacha watoto wanne ukiacha wale mabinti watatu wa ndoa kumbe Marehemu alikua na mtoto mkubwa wa kiume, tunaweza kumuita mtt wa ujanani. Yule binti mkubwa ambaye ni rafiki yetu akastuka na akakunja sura. Babu akasema huyo kijana mkubwa wa marehemu atakombolewa kwa utaratibu rasmi ili aweze kujiunga na ukoo wao, na ni mbaba mkubwa tu, hapo sasa minong’no ikaanza.

Mchungaji akasema watoto wa marehemu wasimame kwa ajili ya maombi, yule binti alimkata jicho yule kaka yake mpaka akawa anaogopa kusimama, mkaka wa watu hatimaye akasimama kinyonge sana huku machozi yakimlenga.

Huwezi amini yule binti alimkataa kaka yake mbele ya watumishi wa Mungu. “Alinyanyuka na kusema “hapana sio ndugu yetu”. Aibu jmn nilitamani ardhi ipasuke niingie. Watu wakaanza kuangaliana, mchungaji alishangaaa huyu binti mdogo hivi anapataje kiburi cha kuropoka hivi mbele za wakubwa?

Mchungaji akamwambia sikiliza binti, hayo mambo hapa sio mahala pake na wala hayatuhusu. Akasoma mistari kadhaaa kwenye bible kisha akawaambia wakubwa watumie busara ya hali ya juu ktk hili.

Nilijifunza vitu vingi sana kwenye huu msiba, na pia niligundua kwamba kuna baadhi ya koo zina shida kubwa usithubutu kuoa wala kuolewa huko. Imagine msibani chakula wanatangaza kbsa eti ni kwa ajili ya wageni wanaotoka Dar na Arusha tu hao wengine watatusamehe, yaaani familia inatengeneza matabaka mpaka kwa waombolezaji. Kama chakula ni kwa ajili ya wageni tu, je kulikua na haja ya kutangaza kwenye mike? Majirani wamejiskiaje kwa kauli hizi?

Ikafika muda kuna mchungaji mwingine akapewa mike kwa ajili ya kutoa neno. Bwanabwana, alitoa makavu live kwa familia. kumbe alipewa taarifa za msiba lkn baadae wakamwambia basi usije cz marehemu hakuwa akihudhuria kanisani yaaani kwa ujumla sio watu wa kanisani kwaiyo wakawa hawana uhakika kuwa mchungaji atakubali. Mchungaji kasema huu uchonganishi wa kiimani, mmeenda kuokota wachungaji kutoka Dar bila barua yyte ya utambulisho kwa sbb mnajua wenyewe mapungufu yaliyopo. Lkn sisi tulishakubali kuja kuongoza ibada kama kanisa ila cha kushangaza tukaambiwa basi msije tumepata mchungaji mwingine. Yaaani yule mchungaji kwakweli hakutaka unafiki alifunguka ukweli mtupu.

Hatimaye jioni ile baada ya msiba tukarudi Dar na wafiwa wakarudi kesho yake asubuhi ila msiba ulikua ni gumzo kutokana na tabia za wafiwa na ukoo kwa ujumla. Sis tulioenda moshi tulikua hatuonekani kbsa, hakuna hata ile asanteni kwa kuja, yaani tulitengwa mwanzo mwisho.

My take, mtoto umleavyo ndiovyo akuavyo, hata kama unawapenda watt wako kiasi gani, hakikisha unawalea kulingana na misingi ya kidini na kiutamaduni wetu wa kiafrica maana kuna leo na kesho, huwezi jua siku ya kuondoka duniani hao watoto utawaacha ktk mazingira gani.
Duh polen saana
 
Baada ya kusoma bandiko nzima kwa upande wangu nimeamua kunukuu haya maneno:-

“Ndugu zangu Naomba tu niwakumbushe kwamba hakuna asset nzuri kama watu”

Mkuu tafsiri ya watu usiichukulie juu juu,watu wanaweza kuwa wema sana/wabaya sana!

Cha muhimu ni kuheshimiana na kila mmoja lakini mazoea hamna!..sisi binadamu ni viumbe wa hovyo sana,jifunze kuishi personal life utajifunza mengi sana na utakuja kunishukuru.
Kuna mambo ya kijamii sio ya kujitenga kabisa,hata kwetu wako hivo ikiwa wewe unajitenga kwenye shughuli siku likikupata utaelewa
 
Huu ni mtazamo hasi, huwezi kumtenga mtu hivyo ni kukosea, baya halilipwi kwa baya, baya hulipwa kwa jema ili umfundishe mkosaji aone alipokosea na ajifunze, hii sera ya jino kwa jino kufanywa na viongozi wa makanisa ni jambo la kushangaza sana.
 
Itoshe kusema tu ,hao mabinti watafunzwa na walimwengu ,hakuna MTU anayeumwa kama mzazi jamn ,ujasiri wa kufanya hayo yote unautoa wapi ? Mm nilipofiwa na wazaz wangu yaan unapata uchungu fulan machozi yanashuka yenyew tu ,una feel ile deep pain mpaka unakuta unaumia mnoooo ....lakn hawa wa kuchati na madoido mbali mbali sijui wanapata wapi huo ujasiri jaman ,kweli watu tunatofautiana

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Habari za wakati huu wana JF, kwanza kabisa nachelea kusema kwamba mm ni mgeni humu JF kwa maana kwamba huu ndio uzi wangu wa kwanza. Lkn nimekua nikifuatilia Jamii Forum kuanzia mwaka 2017 ambapo nimekua naingia tu kusoma thread mbalimbali lakini sikua nimejiunga mojamoja. Nimekua nikimfuatilia sana Mshana mpaka muda mwingine nikawa nakosa usingizi kwa ajili ya nyuzi zake za kuogofya

Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni kwamba majuzi ulitokea msiba chuoni kwetu ambapo rafiki yetu alifiwa na baba yake mzazi. Sisi kama marafiki tulipata taarifa za ugonjwa wa mzee na tukanunua matunda na kwenda kumuona ambapo tulifanikiwa kumuona mzee na hali yake haikua mbaya sana kwa maana aliweza kutoka mwenyewe nje na kuota jua.

Baadae kweye mida ya saa sita usiku tukapata taarifa kwamba baba wa rafiki yetu hatupo naye tena, sisi kama marafiki tukaenda msibani kumfariji mwenzetu ambapo sio mbali sana na tunapoishi. Sasa vimbwanga kutoka kwa rafiki yetu vikaanzia hapa. Kabla sijaenda kuelezea zaidi ningependa wasomaji wafahamu kwa uchahe kuhusu huyu binti.

Ni binti mrembo ambaye ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wa tatu wa mzee huyo, ikiwa wote ni wa kike. Ana umri kati ya miaka 21 na 22, uzungu umemtawala huyu binti na mpaka darasani watu wamemchoka kwa sbb ya tabia zake za ujuaji na watu wakifanya presentation huwa anakosoa kwa kejeli sana. Kutoa vicheko vya ajabu hata kama kitu hakichekeshi sana, kwa kifupi ni mjuaji na mnoko sana. Ni mchonganishi amejaribu kusambaratisha urafiki wetu mara nyingi sana lkn ikashindikana kwakua tumeshamjua kwaiyo tukawa tunampuuzia.

Sasa bwana picha linaanza tunafika msibani hamna watu kbsa, tukasema inawezekana bado ni mapema labda watu wengi hawana taarifa. Watoto wamevaa vipensi msibani na vitopu bila hata braa, huyu rafiki yetu alilia kdg sana alipokutana na boy friend wake baada ya hapo dada ni mkavu kama hakuna kilichotokea.

Mama mtu naye alikua analia kwa kuomboleza, maneno kibao mara oooh amewasamehe waliomkosea, mume wangu alitubu sala ya toba, alisema kuna gari inakuja kunichukua, kasema watt wangu wasome, yaaani maneno mengimengi tu.

Mm na rafiki yangu mmoja ambaye tulifanikiwa kufika kwa usiku ule tukalala kwenye Mkeka just kujiegesha. Yule rafiki yetu mfiwa akaanza kuongea, oooh walikua wanamtenga sana baba yangu baada ya baba kudhulumiwa pesa zake akafirsika wakaanza kumtenga na kumuona sio wba maana tena, misiba walikua hawamuambii yaaani kwakifupi walitutenga familia nzima.

Kesho yake ikafika watt bado wamevalia vipedo, tukamwambia yule rafiki yetu, ambaye ndio firstborn awaambie wadogo zake wavae magauni au hata kanga na yy pia ajistiri, tukaanza kufokewa, “hey guys leave me alone, navaa ninavyojiskia sitaki mtu yyte anipangie cha kuvaa maana hata nikivaa hayo madera dady hawezi kuamka. Tukaishiwa pozi, hatujakaa sawa wakatufuata wababa wawili, wakasema nyie hebu muambieni rafiki yenu ajistiri yy na wadogo zake wanatutia aibu sana, kwenda kumuambia akasema waambieni hao wababa waje kunambia wenyewe sitaki makelele mimi. Aisee ikabidi tuache mambo kama yalivyo.

Cha kushangaza ni kwamba binti anacheka vicheko kama yupo bar tena hata hajistukii sisi marafiki na baadhi ya watu waliofika pale wanabaki wanashangaa. Wanafunzi wenzetu wakafika kumpa pole bidada wakamkuta yupo busy na kiboyfriend chake wanafumuana nywele. kibaya zaidi anafuraha anacheka anazunguka tu na kitopu chake na bra linaonekana wala hana habari, lkn this time alijifunga kanga maana wamama walimfokea sana.

Ndugu zangu Naomba tu niwakumbushe kwamba hakuna asset nzuri kama watu. Ukiwa karibu na watu itakusaidia sana maana hii dunia llte linaweza kutokea kwa wakati wowote. Huwezi amini yule mama alikua peke yake kbsa, watoto wako busy na viboy friend, tukajiuliza inamaana hakuna hata majirani? Na pale ni nyumbani kwao sio kwamba wamepanga, ila watu hamna kbsa.

Siku ya pili ikafika tukawa tunaendelea na shughuli za hapa na pale sisi kama watoto wakike tukawa tunaosha vyombo, usafi wa hapa na pale na kupika chai. Usiku huu hamna kbsa mtu aliyekatiza pale msibani, yaaani tulikua sisi watu wanne ambao ni wanafunzi tu, inamaana tusingekuepo wangekua wako peke yao kbsa. Bidada akaanza kutuamrisha kama watoto wadogo, fulani kalete hiki, wewe kaninunulie hiki, chukueni nguo mfue yaaani tumefanywa kama watoto wadogo.

Siku ya tatu ikafika wanafamilia kdg wakaanza kukaa vikao kwa ajili ya kusafirisha maiti, na sisi kama marafiki tukaona sio mbaya tumsindikize mwenzetu Moshi kwa ajili ya kwenda kumpumzisha baba yake hata kama anatabia za ajabu lkn hakuna jinsi ilibidi tumshike mkono mwanzo mwisho. Usiku ule wakaita msusi wakasukwa vzr na wakasisitiza wapendeze sana kimoyomoyo nikasema hizi nguvu za kusema nisuke nipendeze sijui wanazitoa wapi Mungu wangu.

Siku ya kuaga mwili ikafika ambapo jioni hiyo hiyo tukaanza safari ya kwenda Moshi, kama kawaida watu ni wachache sana, wanafunzi ndio asilimia kubwa waliojaza viti pale msibani.

Sasa tukawa tunajiuliza Mbona hamna kiongozi wa dini aliyekanyaga hapa? Kumbe familia nzima walikua hawahudhurii kanisani sio baba, mama au watoto, yaaani uzungu mwingi vingereza kibao na kujitenga na Jamii. Siku ya kuaga mwili wakamuomba Mchungaji aje kwa ajili ya ibada, sijui hata walimtoa wapi. Akaongoza ibada na hatimaye Mwili ukasafirishwa na yule mchungaji akiwepo.

Kwenye gari wakati wa safari binti anaropoka njia nzima, mara Dady tunakupeleke moshi, mara usiweke begi lako kwenye jeneza la baba yangu toaa, hapo anaongea na baba mtu mzima kbsa, mara mm ndio konda nachangsha nauli, yaaani mpaka kuna baba akauliza “huyu binti amekunywa pombe” sisi tunaona aibu mpaka basi. Tulivyokaribia Moshi akaaanza guys karibuni kwetu, jiskieni mpo nyumbani tena anaongea kwa sauti gari zima watu wanatingisha vichwa kwa ajili ya tabia za huyu rafiki yetu.

Hatimaye tukafika Moshi Salama na ilikua ni asubuhi kama saa mbili hivi, kama kawaida na kule watu hamna yaaani tukajikuta ni sisi tu tuliotoka Dar na badae wakaja majirani wachache na wageni wengine wakafika kutoka Arusha, watoto wamevalia suruali nyeusi na tshet nyeusi sare,vichwa wazi ili nywele zionekane, tumejaribu kuwanunulia madera wamegoma kuvaa mitandio tumewafunga kichwani tulivyotoka nje wakavua.

Ibada ikaanza baada ya mwili kuagwa na hatimaye historia fupi ya marehemu ikasomwa, hapa ndio mtiti ulipoanzia. Mzee alikua msomi mzuri tu na alienda hadi nje nafkiri hii pia ilichangia kwa yeye kuchelewa kuoa maana binti yake wa kwanza wa ndoa ni huyo rafiki yetu ambaye anamiaka 21 na yy marehemu alifariki akiwa na miaka 69.

Wakati historia fupi inasomwa msomaji akasema marehemu aliacha mke na watoto . Kimoyomoyo nikasema there must be something wrong. Kwa nn hakutaja idadi ya watoto? Muda ukafika baba wa marehemu akapewa nafasi ya kusimika viongozi wapya according to Chagga tribe, kwa mara ya kwanza mm ndio nimehudhuria mazishi ya kichaga kwahivyo vitu vilikua vigeni kwangu.

Baba mzazi wa marehemu akasema mwanaye aliacha watoto wanne ukiacha wale mabinti watatu wa ndoa kumbe Marehemu alikua na mtoto mkubwa wa kiume, tunaweza kumuita mtt wa ujanani. Yule binti mkubwa ambaye ni rafiki yetu akastuka na akakunja sura. Babu akasema huyo kijana mkubwa wa marehemu atakombolewa kwa utaratibu rasmi ili aweze kujiunga na ukoo wao, na ni mbaba mkubwa tu, hapo sasa minong’no ikaanza.

Mchungaji akasema watoto wa marehemu wasimame kwa ajili ya maombi, yule binti alimkata jicho yule kaka yake mpaka akawa anaogopa kusimama, mkaka wa watu hatimaye akasimama kinyonge sana huku machozi yakimlenga.

Huwezi amini yule binti alimkataa kaka yake mbele ya watumishi wa Mungu. “Alinyanyuka na kusema “hapana sio ndugu yetu”. Aibu jmn nilitamani ardhi ipasuke niingie. Watu wakaanza kuangaliana, mchungaji alishangaaa huyu binti mdogo hivi anapataje kiburi cha kuropoka hivi mbele za wakubwa?

Mchungaji akamwambia sikiliza binti, hayo mambo hapa sio mahala pake na wala hayatuhusu. Akasoma mistari kadhaaa kwenye bible kisha akawaambia wakubwa watumie busara ya hali ya juu ktk hili.

Nilijifunza vitu vingi sana kwenye huu msiba, na pia niligundua kwamba kuna baadhi ya koo zina shida kubwa usithubutu kuoa wala kuolewa huko. Imagine msibani chakula wanatangaza kbsa eti ni kwa ajili ya wageni wanaotoka Dar na Arusha tu hao wengine watatusamehe, yaaani familia inatengeneza matabaka mpaka kwa waombolezaji. Kama chakula ni kwa ajili ya wageni tu, je kulikua na haja ya kutangaza kwenye mike? Majirani wamejiskiaje kwa kauli hizi?

Ikafika muda kuna mchungaji mwingine akapewa mike kwa ajili ya kutoa neno. Bwanabwana, alitoa makavu live kwa familia. kumbe alipewa taarifa za msiba lkn baadae wakamwambia basi usije cz marehemu hakuwa akihudhuria kanisani yaaani kwa ujumla sio watu wa kanisani kwaiyo wakawa hawana uhakika kuwa mchungaji atakubali. Mchungaji kasema huu uchonganishi wa kiimani, mmeenda kuokota wachungaji kutoka Dar bila barua yyte ya utambulisho kwa sbb mnajua wenyewe mapungufu yaliyopo. Lkn sisi tulishakubali kuja kuongoza ibada kama kanisa ila cha kushangaza tukaambiwa basi msije tumepata mchungaji mwingine. Yaaani yule mchungaji kwakweli hakutaka unafiki alifunguka ukweli mtupu.

Hatimaye jioni ile baada ya msiba tukarudi Dar na wafiwa wakarudi kesho yake asubuhi ila msiba ulikua ni gumzo kutokana na tabia za wafiwa na ukoo kwa ujumla. Sis tulioenda moshi tulikua hatuonekani kbsa, hakuna hata ile asanteni kwa kuja, yaani tulitengwa mwanzo mwisho.

My take, mtoto umleavyo ndiovyo akuavyo, hata kama unawapenda watt wako kiasi gani, hakikisha unawalea kulingana na misingi ya kidini na kiutamaduni wetu wa kiafrica maana kuna leo na kesho, huwezi jua siku ya kuondoka duniani hao watoto utawaacha ktk mazingira gani.

vidy_tz
 
Wewe mleta mada ndio nakushangaa, tatizo lako umeishi kwa kukariri sasa umeona kitu tofauti unaona ni kosa, guu kwako ni ushamba, tembea maeneo tofauti uone mambo yanavyokwenda.

Suala la wahudhuriaji msibani kuwa wengi au wachache nalo kwangu halina maana, na zaidi hata hilo suala la kusema kwasababu walikuwa hawadhurii kanisani ndio maana wakakosa mchungaji sijui padre wa kuwazika nalo kwangu pia halina maana, hizo ni sheria za kanisa sio za Mungu, kama unaamini hizo sheria zina maana basi tuambie hapa Yesu alikuwa dhehebu gani?

Huyo mchungaji hawezi kumuondolea dhambi baba yake na rafikiyo hata kama akiendesha misa ya maziko, hilo walilofanya hao wachungaji sijui padre ni kuwahukumu hiyo familia ya rafiki yako wakati tumeambiwa tusihukumu tusije hukumiwa, hukumu ya haki iko mbinguni pekee.

Hao wachungaji wanajiona wako vizuri wakati nao siku ya mwisho wanaweza chomwa moto tu, kwani imeandikwa sio kila anaesema Bwana Bwana atauona ufalme wa Mungu, wachungaji/ mapadre kukataa kuzika ni siasa tu zimeingia makanisani, tumeona "wazito" wengi wanazikwa hata km walikuwa hawaendi makanisani.

Masuala ya kuzikwa na mchungaji, kuhudhuriwa mazishi yako na watu milioni mbili nk ni mbwembwe za ulimwenguni tu, haziisaidii chochote roho inayosubiri hukumu, tusidanganyike na vya ulimwengu huu.

Mwisho, huyo rafiki yako ana haki ya kumkataa huyo kaka yake kwasababu baba yake hakuwai kumwambia kama ana kaka, hilo sio kosa la binti ni kosa la mzazi baba, angempanga mapema huyo rafiki yenu hilo la kumkataa kaka yake lisingetokea.
Pumba izi afu lazima utakuwa unahudhuria msosi wa foleni.
 
Kwa kweli sijasoma yote nitarudi kumalizia
 
mtoa mada ni chawa wa hao watoto wa kishua kifupi ni mtoto wa mbwa ndio mana aliweza kuvumilia izo shida zote

Sio kweli, yule ni rafiki yetu wa karibu sana ndio maana tumekua naye mwanzo mwisho, alafu hata sio wa kishua ni kawaida sana. Nimaona kwakua ishu imetokea karibia na weekend isingeathiri sana ratiba zangu za masomo.
 
Hao wameachiwa Mali/vitega uchumi kwa hiyo maisha yao hayatayumba baada ya kifo.

Moja ya sababu kwanini watu hulia sana msibani ni kufikiria uchumi baada ya kifo
 
Kwa ushuhuda wa humu kama umewalenga watu wa nyanda za juu kaskazini wasee wa kulewa Sana msibanii
 
Back
Top Bottom