Mambo wayafanyayo wanawake yanayokera

Na nyinyi munapenda sana kupikiwa na kufuliwa nguo, nani amesema hayo ni majukumu ya mwanamke? Au ndiyo mazoea unayozungumzia kwa upande wa wanawake tu wa kutaka hela?
nayo ni mazoea kama wanawake pia walivozoea kuomba pesa!
 
I’d listen to her
'Cause I know how it hurts
When you lose the one you
wanted (wanted)%%%%%"

bak umetishaaaaa nilijua tu ni wew
if i were a boy, i think i will understand
love it
 
Reactions: BAK

Nimeipenda zaidi hiyo (v) wanajidai wanamsimamo kumbe wengine makahaba.
 
utasikia baby nikija kwako niandalie hela ya salon,
ke wenye tabia hizo badilike, mi nikitoa sh 5 ujue kabisa na wewe namna ya kuizalisha siyo kutumia tu
 
utasikia baby nikija kwako niandalie hela ya salon,
ke wenye tabia hizo badilike, mi nikitoa sh 5 ujue kabisa na wewe namna ya kuizalisha siyo kutumia tu

maziwa fresh!! sh 5 au buku tano?
 
kama na mi nna mchepuko wla hutonskia nakulalamikia. [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…