Tembosa my dear hutaki majukumu tena kiuhalisia mwanaume anajukumu la kumtunza mke ... ila lazima kuombwa pesa ... mwanamke kuna wakati ni lazimaumuhudumie hivi mkitaka haki sawa basi na nyie mbebe mimba... any way mimi bado mwanaume anayekwepa majukumu ni tatizo