Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Amante, asante kwa kuliona hilo pia. Kuna characters ukioa hakika utajuta. Pesa ni muhimu lakini isiwe kigezo cha kupenda/kuishi na mtu.

If you find yourself caving into irrational demands, just remember that the upkeep she is demanding is a choice, a choice for how she wants to live, but that doesn't mean that you have to play along. If she isn't willing and able to provide the things she demands for herself, it isn't necessarily best to provide them for her.
Chapa lapa fasta!
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama ni tendo la kufanyana maneno kama NIMEMLA, NIMEMGONGA, NIMELALA yanatoka wapi?
Haya ni maneno yasiyo rasmi, hayakufaa kutumika na mimi binafsi siyatumii ni udhalilishaji kwa namna moja ama nyingine...ndio maana hatuna neno NIMEKUJAMIII tunatumia TUMEJAMIIANA.
 
ha ha ha ha ha jamani michakachue maana ... jamani my aim ni kuwa muwe responsible jamna that all... sasa kama unaweza kutoa hela huku unanituia that good too
miss chagga , Unaweza kunipa hela kama tukiwa wapenzi? kwa lengo la kusaidiana? Kama NDIO , huoni hizo sababu ulizotoa inabidi tuwajibike wote?
 
Last edited by a moderator:
Haya ni maneno yasiyo rasmi, hayakufaa kutumika na mimi binafsi siyatumii ni udhalilishaji kwa namna moja ama nyingine...ndio maana hatuna neno NIMEKUJAMIII tunatumia TUMEJAMIIANA.

Hahahah....lakini unajua kuwa hilo tendo lina effect tofauti kwa mwanaume na mwanamke?
 

mkuu mimi mzima sana umepotelea wapi? nimekumiss sana
sasa mkuu maswali yako mazuri sana ila mkuu sasa pale unapoitajika kusaidia toa msaada siyo kuwa mchoyo.. now days rafiki uwezi amini wanaume wengi wmejisahahu kwa kweli... awajali na hawana mwelekeo pia ni tatizo ..
 
Sipendi mwanaume ambaye hajui wajibu wake mpaka aambiwe... Mf. Kutwa kucha anataka mchat lakinu vocha hatumi, Anaona unapendeza hajui hata bei ya lotion, nguo wala namba ya viatu....

Wanaume wapendezeshe wenzu wenu...

Kaolewe na Bank basi...
 
 
Between 25 and 30, mambo ya vijana hayo. Mmh!
 
 
Unawezaje kusema unampenda mtu halafu humjali??
Kuna watu ni bahili sana hata kwa mkewe aliyemweka ndani,kula nyama mpaka sikukuu lakini kwa hawara sasa anavyozimwaga usiseme.
Papuchi ina nguvu hata mama yako unaweza kumsahau.

hamna lolote,papuch zipo ata za kununua,hazina tofauti na izo za kwenu...
 
Some of the comments make very excellent points. Thank you.
But u miss chagga & Co. have negative perception on Men! And on less serious note, Men: be aware of these girls!
Marijan Rajabu aliimba kuwa kwenye watu kumi binadamu ni mmoja. Binadamu ni mtu ambaye anaweza kuishi kulingana na mazingira miss chagga niliyemfamu alipokuja huku Njinjo kunitembelea wiki mbili zilizopita ni binadamu maana samaki nchanga alitafuna bila matatizo, mtoto wa kichagga alikubali kuishi huku kwetu na nyumba zetu za makuti! Hivyo naona ni mwalimu mzuri tu anajitahidi kutuasa sie vijana tunaochipukia (muwazi kama Lara 1, si lazima awe kihivyo). Ingawa naona ameninanga, nitajitahidi kubadilika
 
Wanaume ni wachache sana.
Wengi wanalalamika tuuuu hadi kero
Wanakimbia majukumu yao
 
utasikia baby tuma picha ...
tuma picha unatuma bado tena
tuma picha ... hivi niwaulize
mnatengenezea movie hizo
picha ni nini tatizo?...######

ni shida nadhan kama ni movie hata series zingetosha
 
 
miss chagga , Unaweza kunipa hela kama tukiwa wapenzi? kwa lengo la kusaidiana? Kama NDIO , huoni hizo sababu ulizotoa inabidi tuwajibike wote?

jibu ni NDIO mkuu na hizi sababu zinatuhusu wote .. kilichopelekea kuandika huu uzi ni kuona namna wanaume baadhi yao wa sasa wanazdi kujisahahu nakutupia hata mzigo zaidi kwa mwanamke na kuendekeza mambo yasiyokuwa na tija...... wanawake nao wanalao ila kwa sasa acha niwaambie vijana wenzangu waache kujificha kwenye mwavuli wa HAKI SAWA.... rafiki yangu ni tatizo kwa kweli kukutana na kijana tokea mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka anaimba nyimbo zile zile tu ni tatizo... hivi inakuwaje mtoto w kiume unagubu to me namwona may be anakaelement cha ushoga i feel bad to say this
 
Hahahah....lakini unajua kuwa hilo tendo lina effect tofauti kwa mwanaume na mwanamke?
Hizo effects inategemea na mnavyochukuliana na mnavyojaliana, Khantwe ukiwa mwema na muaminifu kwangu sitaweza kukuacha ukiumia au ukiteseka. TUTASAIDIANA na KUPENDANA na sio KUKUSAIDIA na KUKUPENDA hapa mambo yatakua yamebalance na kila mmoja atafurahia mahusiano.
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…