Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Some of the comments make very excellent points. Thank you.
But u miss chagga & Co. have negative perception on Men! And on less serious note, Men: be aware of these girls!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha, unamshika kiuno kumbe anataka kushikwa nywele.Hahahahahaha.Message delivered.
 

Hahahaha....umetiiisha mwanadada
 
[QUO TE=snowhite;10019276]- kuvua suruali na kuiacha chini
-kuingia ndani na viatu wakati tunadeki
-kuandikiwa sms ndefuuuu ye anajibu ."ok"
-kumaliza ugomvi kwa kusema "hayaishi"
-kutoa hela na kuuliza "enh kwani umefanyia nini'
kutoa compliments kimoyomoyo but complains kiwaziwazi
-kufutia viatu vitambaa /nguo yyte iliyopo mbele yake
-kuweka miguu juu ya meza
enhenhenhenhrnhe vitu vidogooooooooooooo ila vinatukeeeeeeeeeeera![/QUOTE]

Dada yangu mwanaume wa style hiyo utakuwa umemuokota bar, katika hatua zenu za urafiki/uchumba mpaka ndoa hukupata muda wa kumchunguza? Hata kumtembelea nyumbani kwake? Au mlikuwa mnakutana gest house?
 
..nafanya hivyo kwa sababu anakuja getto kwangu huku ameshavua skin tight, anakata mauno....teh!!! Lakini kama angejitunza wala sina mda wa kumlala mtu kabla ya kumuoa.

Hahaha...uongo uliokomaa huu. Sio wewe kila muda bebi njoo bwana nimekumiss....mkienda mtoko unafanya kila hila ukalale na mtoto wa watu geto wakati hata kwao hukujui
 
Some of the comments make very excellent points. Thank you.
But u miss chagga & Co. have negative perception on Men! And on less serious note, Men: be aware of these girls!

Amante, asante kwa kuliona hilo pia. Kuna characters ukioa hakika utajuta. Pesa ni muhimu lakini isiwe kigezo cha kupenda/kuishi na mtu.
 
Last edited by a moderator:
Na kama huko tayari kuhudumia mbona walala nae kama mkeo?
Mkuu...

Usiseme nalala nae kama mke kumbuka yeye ni mtu mzima pia, nayeye analala na mimi kama mume wake. sema tunalala kama wana ndoa sababu sote kwa hiari yetu na makubaliano yenye ridhaa zetu sote tumeamua.

hivyo hapa tunahudumiana ndio maisha kusaidiana na sio kuchunana! sababu tunapendana na sio nakupenda peke yangu. wewe pia unanipenda. ingekua wewe ni mtoto au mgonjwa wa akili ningekuhudumia sababu hukuamua kwa akili yako huru kulalala na mimi.....
sawa mkuu Khantwe ???
 
Last edited by a moderator:

Asante mamy....kila mtu ana vipaumbele vyake kiukweli...mimi siko interested kiivyo na wale wanaodhani bila wao mjini huishi. Kodi ya nyumba anataka alipe yeye...hela ya umeme yeye chakula yeye....yan unakuwa umeshikwa hapo huwezi hata kufurukuta atataka akuendeshe kama mtoto wake vile..
 

Hawa viumbe wengine wa ajabu sana mkuu! Ndio maana nilimuuliza Kwan papuchi unauza?
 
Hapo hapo binti akiwa na msimamo wake mnashangaa mnaleeta hadi uzi huku eti shake well sasa hivi unasema nini Eli79

Usijaribu kutaka kumridhisha mwanaume....just follow ur heart maana ukifanya hili wao wanataka lile....they are unpredictable....ukiwafuata utakonda kichwa
 
Hawa viumbe wengine wa ajabu sana mkuu! Ndio maana nilimuuliza Kwan papuchi unauza?
Kama ananipa paupichi kama msaada kwanini anataka awe peke yake? kwanini analia na kulalama nnapochepuka?? Na kwanini ananiongopea kua naye ananipenda alama ya upendo iko wapi hapa? Ananipenda au anapenda pesa zangu? Hapa akumbuke huu usemi wa msanii fulani wa bongo fleva "Ntakutumia kama unavyotumia hela zangu".
 

Hawa wavulana wa hv mnawapata wapi!!!!!!!????
 

Sasa kama ni tendo la kufanyana maneno kama NIMEMLA, NIMEMGONGA, NIMELALA yanatoka wapi?
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ha ha jamani michakachue maana ... jamani my aim ni kuwa muwe responsible jamna that all... sasa kama unaweza kutoa hela huku unanituia that good too
 
Hawa wavulana wa hv mnawapata wapi!!!!!!!????
Zorrande huyu ni mwanaume ana miaka 37 .Kuna watu hata awe na miaka 60 kuna tabia wanakuwa nazo kiasi kwamba ile hadhi ya uanaume inakua haipo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…