Ntine kila mtu ana bahati yake unaweza kumpata mtoaji wee ukikohoa tuu bby chukua hizi nenda hospital ,Lakini mwingine sasa hadi bajaji unajikodia yeye anakodoa macho tuu lakini yote heri maisha yanasonga.Kila mtu anavigezo vyake wewe anaweza akawa bahili au anavisirani lakini mambo mengine yote yakawa poa weakness zake nyingine zikamezwa na mazuri yake.Hii dunia haipo fair kabisa kikolo....kuna watu wanakula pesa za hao wanaoitwa bahili kiulaniiiii kabisa na huduma juu.
Hii dunia haipo fair kabisa kikolo....kuna watu wanakula pesa za hao wanaoitwa bahili kiulaniiiii kabisa na huduma juu.
mmmh! umeongea kwa mahasira
Na kama huko tayari kuhudumia mbona walala nae kama mkeo?
Hapo hapo binti akiwa na msimamo wake mnashangaa mnaleeta hadi uzi huku eti shake well sasa hivi unasema nini Eli79..nafanya hivyo kwa sababu anakuja getto kwangu huku ameshavua skin tight, anakata mauno....teh!!! Lakini kama angejitunza wala sina mda wa kumlala mtu kabla ya kumuoa.
huyo ni tatizo mkuu kwa huyo siwezi ongelae kwa sasaidadi kubwa ya watoto wa kike hawataki kupangiwa bajeti BELIEVE ME! Ukijiloga utakapoanza kumpangia bajet utasikia mbahili! Mara ananipangia pangia nini? Nyumban wazazi wanipangie na yeye anipangie? HATA UFANYE MAZURI VPI LAWAMA NI LAZIMA NDANI YA NYUMBA.
Habari wana JF
Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.
- Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.
- Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala
- kuvua suruali na kuiacha chini
-kuingia ndani na viatu wakati tunadeki
-kuandikiwa sms ndefuuuu ye anajibu ."ok"
-kumaliza ugomvi kwa kusema "hayaishi"
-kutoa hela na kuuliza "enh kwani umefanyia nini'
kutoa compliments kimoyomoyo but complains kiwaziwazi
-kufutia viatu vitambaa /nguo yyte iliyopo mbele yake
-kuweka miguu juu ya meza
enhenhenhenhrnhe vitu vidogooooooooooooo ila vinatukeeeeeeeeeeera!
siyo pesa uache tabia ya kununa nuna na kuomba picha kumi kumi kila siku
siyo pesa uache tabia ya kununa nuna na kuomba picha kumi kumi kila siku
Hapo hapo binti akiwa na msimamo wake mnashangaa mnaleeta hadi uzi huku eti shake well sasa hivi unasema nini Eli79
- kuvua suruali na kuiacha chini
-kuingia ndani na viatu wakati tunadeki
-kuandikiwa sms ndefuuuu ye anajibu ."ok"
-kumaliza ugomvi kwa kusema "hayaishi"
-kutoa hela na kuuliza "enh kwani umefanyia nini'
kutoa compliments kimoyomoyo but complains kiwaziwazi
-kufutia viatu vitambaa /nguo yyte iliyopo mbele yake
-kuweka miguu juu ya meza
enhenhenhenhrnhe vitu vidogooooooooooooo ila vinatukeeeeeeeeeeera!
Habari wana JF
Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.
- Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.
- Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala.
- Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba hata kuhudumiana ni tatizo... mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...
- Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya kutosheleza matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila siku utasikia sina hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi tuone unafanya jambo la maana upuuzi mtupu
- Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki zako kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.
- Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... hivi niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...
muhimu: jitahidini kutafuta pesa kwa bidii na kufanya mazoezi ya viungo. siku njema rafiki
Mkuu...kwemaaa???kupewa papuchi anataka lakini kumhudumia hataki...