Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

ndio maana wacheza mpira wanatugegedea mademu wetuuu....loh usidhubutu kabisa waguse papuchi ya demu wako ujue huna kitu

ndiyo hivyo na wewe anza kucheza mpira lasivyo utachapiwa
 
Yani mi huwa nakereka sana yani sanaaaa
akitaka kitu yani sekunde niwe nimeleta
wakati nikipika nkimuita kula hadi ugali unavaa kofia yupo tu jf
kama ni maji basi hadi yanapoa, nikirudia kumuita anamind eti nakomaa nasikiaga hasira kama nijifungue vile
 
kwenye bold hapo ukiwa unaanza kupika ndio unamwita mume wangu au mpenzi wangu karibu chakula...... maji ya kuoga hakikisha ameingia bafuni ndio uanze kuweka maji
 
we ongea tu ukishachapiwa mwanamke akakudharau utajua utamu wa mkeo na papuchi yake

kumbe ukweli ndio huo kuwa mwanamke akichapwa nje anamdharau kidume wake....loh. basi ngoja niwachape wanawake ili sasa wawadharau waume zao.
 
kumbe ukweli ndio huo kuwa mwanamke akichapwa nje anamdharau kidume wake....loh. basi ngoja niwachape wanawake ili sasa wawadharau waume zao.

Ila jiandae kushika ukuta
 

Loh, umenichekesha hapo kwa red
 
una justofy vp mwanaume kukupa ela baada ya kua mpenz wako?? unamuuzia mapenz au? mbona kabla cjawa mpenz wako ulikua huniombi ela?
 
Kha sasa angalia uholanzi na Argentina bwana. Bila Bila

hahahahaaaa,,,,mi na mpira wapi na wapi? hobi yangu kuzogoa, ila nimeskia klauds leo argentina wameshinda, brazil walipigwa visaba, brazil atacheza sijui na nani kutafuta mshindi wa tatu. Kwa kuwa ni kombe la dunia na mimi ni mwanachama wa dunia nitaangalia fainali nia ikiwa ni kushuhudia mbwembwe zisizohusiana na mpira kama nilivyofanya katika mechi ya ufunguzi. Naskia ali kiba na shakira ndo watatumbuiza. Can't wait!
 
una justofy vp mwanaume kukupa ela baada ya kua mpenz wako?? unamuuzia mapenz au? mbona kabla cjawa mpenz wako ulikua huniombi ela?

bona WEWE SIJAONGELEA PESA ZAIDI HAPA NIMEONGELEA MENGI
 
ndio ila kwa mfano mwanamke anakazi ukimpa laki tano kwa mwezi yake na mtoto au laki nne afu bado analalamika haitoshi huyo unamchukuliaje

Kubabake zake wenzie hata buku hatupewi, yani tumeoa badala kuolewa, ni kumnyima kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…