Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Hahahaha kaka akushaoa si wako tena.....kama hukumtumia alipokuwa hajaoa ndo umechelewa hivyooo
si unajua tena mwanao nataka nisome hadi madarasa yanibomokee
Hahahaha kaka akushaoa si wako tena.....kama hukumtumia alipokuwa hajaoa ndo umechelewa hivyooo
Hahahaha kaka akushaoa si wako tena.....kama hukumtumia alipokuwa hajaoa ndo umechelewa hivyooo
kumbe niko sahihi eeeeh kaka zangu sita hadi sometime nawaonea huruma
Ntuzu zamani ananimention popote siku hata likes hanipi lol
Uko sahihi sana kuliko kuanza kuvutiana midomo na wifi zako utadhani wakewenza. Hizo mention wakat wako ulishaisha
hahahahhaa ila wiiii upunguze bhana
hahahahhaa ila wiiii upunguze bhana
Kuna nini hapa my dia
tumepata wifi anakabahadi penati lol
Wifi yetu kwa kaka Ntuzu?Muache tu amkabe si unamjua kaka yetu nae?By the way mbona siku hizi hata hanishirikishi mambo yako yani nayasikia kupitia kwa watu sio vizuri
mmmmmh yapi hayo honet
Umenikumbusha mtoto wa boksi. Mungu atuafu na hayo. Naangalia mtoto asieweza kujieleza/kuashiria. Ispokuwa tu ni dharura, baba hatakiwi kubaki nae. Wala si mfumo dume. Ni bailojia tu mamaangu. Wababa wameharibu sana watoto kisa wamama siku hizi kung'ang'ania haki sawa hadi kwenye yaliyo ya msingi. Huzuni!!
Nasikia sasa hivi unaishi na mume mwingine?Kuwa kwangu mbali na wewe isiwe kigezo chakutokujua mambo yako mumie
Kha sasa angalia uholanzi na Argentina bwana. Bila Bilamh! wababa hata mbuzi na mbwa wanajisevia siku hizi. Hao wanyama nao tuwabebe migongoni tukitoka? Mungu atuafu tu na hayo.
hahahaha mimi bado ni wa mura usisikilize ya wapambe
Sipunguzi ndo naongeza....hapa mahaba nitie kitanzi nishindwe kugeuza hata shingo
Unaamka asubuhi mtu umenuna anajua labda mood haijakaa tu sawa sasa hivi asubuhi hali hiyo inaendelea hadi jioni na kesho yake pia ukiulizwa jibu oghh! kila kitu kipo sawa hii hali ni kero pia.Muda mwingine unamwacha kwasababu unahisi anahitaji space ili afikirie mambo yake lakini jamani hiyo space week nzima muwe mnawafikiria na wenzenu.
basi mnajielewa sasa siku hizi zidi ya kuomba pich hamna jipya