Umegeuza maneno....mwanzo ulisema huwezi kumuhudumia mwanamke asiye mke wako...kwan hapa tunaongelea wanaume tunaokutana nao barabarani?
hahaha!! Khantwe hukunielewa bhana!! Nilisema sitahudumia mtu asiyw na future na Mimi. Akiwa mchumba, kwa maana kuwa tayari process zote za kufahaniana na kutoa mahari zimekamilika, hapo sawa. Otherwise nitazidi kuwa kauzu. Hem' fanyeni kazi acheni kutegemea wanaume. Vijana wenyewe wamepigika maisha magumu.
hahahahah mwanamke mwenye uelewa na anaye mfahamu mume wake vizuri akiona amenuna wala hakasiriki. Ukiona mwanamke analalamika sana uje kwanza ana matatizo na pili yeye ndiyo kabadilika.wanasema ukiona mwenzi wako kabadilika usitafute mchawi kwanza jichunguze mwenyewe kwanza kama hujabadilika? Kuhusu wanawake kutumia hela kwa kificho hata muda mwingine haifahamiki wamefanyia nini limekuwa linazidi sana siku hizi. hata muda mwingine hicho alichofanyia siyo hicho anachokuambia. mwanaume akishajua tu hilo mwanamke hatapata hela yake. Wanaolalamika sana wengi wao wameolewa au kuingia kwenye mahusiano kwa ajili ya maslahi na pindi wanapoona maslahi yao hayatimilizwi ndiyo wanaishia kulalamika tu.
mwanaume mlalamishi simpendiiiii kutoka moyoni
mngekuwa sio tegemezi msingelalama na pesa zisizo zenu, after all hao ni mahawara tu wala hamjaolewa....Nani kasema TUNATEGEMEA? af we mbona kauzu hivyo lol
mngekuwa sio tegemezi msingelalama na pesa zisizo zenu, after all hao ni mahawara tu wala hamjaolewa....
.. Mie asili yangu ukauzu.
duh!! umefunguka mkubwa....!!!!!!
Acha kabisaa....wanakeraaa....usipopokea simu mara mbili --------- booonge la gazetiii....mi huwa naona bora mwanaume mkali kuliko mlalamishi....yan kitu kidogo atalalamika hadi kero...
Mke mwema daima huwezi kuona anaropokaropka matatizo ya ndoa yake kwa kila mtu NEVER. Hao aliowataja kuwa wanalalamika hamna mke hapo.
KM wanataka hela wambie wapitie kwako wakupmbe Wewe wasije kwangu moja Kwa moja!
Nimeoa sasaiv
Luv u Khantwe
aiseeeeeeeeeee kuna mtu kaiba id yako sezae
Tatizo la binadamu huwa hamtaki kukubaliana na ukweli. Najua ngumu kumesa ila huo ndo ukweli hahahahah....poleee
ohoooops utafikiri sio wewe ndo mana kaka zangu wa ki real life nawapa majukumu yangu kibao kabla hawajaoa wananikatia pocketmoney ya kutosha najua wakioa mambo yatakuwa si mambo tena lol
Daaah my daughter nisamehe bure.....dada yako alitambulishwa tatizo na wewe unajificha sanaaa
Na Hivyo ndivyo ilivo...aamin