palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Mkuu hapa umeona mbali sana na tunaoandaliwa mizinga tupo wengi yaani hii mada imewapa nguvu kweli, heko kwa mtoa mada.....ila mie wimbo wangu upo palepale sin....e....l...a. kila siku mimi2
Kaizer hujanifahamu? sijakuelewa. Unamaanisha hujanielewa au? Kama hujanielewa ni kwamba nilikuwa naongezea machache kwenye list ya miss chagga ya kero za wanaume. Mimi niite za wenzi.
-kuacha taulo bichi kitandani
-kuacha soksi kwenye viatu
-kuacha magazeti ya wiki nzima kweny gari
-kukoroma
-kudhani nyumba nzima wanapenda kuangalia kipindi cha Drive It
-kumaliza pants na handkierchief zote hata kama umesafir utakuta zimeongezeka mpya tu zote chafu
enhenhenhenhe hadi raha!
Sijasema hivyo mkuu. Jukumu la kuwaangalia wazazi hasa wakiwa watu wazima ni langu. Nilichosema ni kuwa sitaki kutoa matumizi yasiyo ya lazima, hasa kwa mtu ambaye si mke wala mchumba.Eli 79 nikuite nani sasa? Ukumbuke wengine tumefika hapa tulipo kutokana na wazazi wetu (mama au baba) kwa kuuza walichokuwa nacho ili tupate elimu ya juu. Sasa wewe umekuwa na familia yako unasema hao wazazi wajiangalie wenyewe? Je kwa vipi? Tuache kuiga hadithi na mila za wengine most likely weupe!
Asante kwa kunikaribisha. Nimeshaishi humu miezi kadhaa na kwa "sura" nakufahamu ila hizi nasaba ndo nilikuwa nijazifahamu. Kutokana na siginecha yako nahofia kujitambulisha zaidi, lakini tuko pamoja.
nyongeza...chepuko lako la milele limekumiss mpaka limelazwa......
Sijasema hivyo mkuu. Jukumu la kuwaangalia wazazi hasa wakiwa watu wazima ni langu. Nilichosema ni kuwa sitaki kutoa matumizi yasiyo ya lazima, hasa kwa mtu ambaye si mke wala mchumba.
Duuh..ngoja nije nikuwekee damu itakuwa imepungua hakyamama
Huyo mtoto kama bado ni wa kujisaidia kwenye nguo, ilikuaje mamie akamwacha? Mkiachia kina baba, wawapo wakubwa, ndo hizi lawama wenzi wao wanazileta JF (Mungu aibariki wajukuu zetu waikute-in whatever form 🙂).
Kaizer hujanifahamu? sijakuelewa. Unamaanisha hujanielewa au? Kama hujanielewa ni kwamba nilikuwa naongezea machache kwenye list ya miss chagga ya kero za wanaume. Mimi niite za wenzi.
kweli nimeamini nina gundu! hata wewe hujaniona??? ngoja nikaoge magadi japo uni"deku" tu niendelee na safari zangu.
mpaka ufike...itakuwa r.i.p tuma tu kwa zedi pesa
-kuacha taulo bichi kitandani
-kuacha soksi kwenye viatu
-kuacha magazeti ya wiki nzima kweny gari
-kukoroma
-kudhani nyumba nzima wanapenda kuangalia kipindi cha Drive It
-kumaliza pants na handkierchief zote hata kama umesafir utakuta zimeongezeka mpya tu zote chafu
enhenhenhenhe hadi raha!
Ha ha ha acha ubahiliMkuu hapa umeona mbali sana na tunaoandaliwa mizinga tupo wengi yaani hii mada imewapa nguvu kweli, heko kwa mtoa mada.....ila mie wimbo wangu upo palepale sin....e....l...a. kila siku mimi2
[h=2]Mwanamke Ishi Kwa Uwezo Wako[/h]
Wanawake wakati mwingine unaweza sababisha matatizo, majaribu na hata magonjwa ya moyo kwa mume na familia kwa ujumla. Wanawake tunapenda kupendeza, kuishi mahali pazuri, kula vizuri na kuonekana vizuri. Mambo haya sio dhambi ila hakikisha yanaendana na hali halisi ya maisha na kipato chenu. Kuna wanaume wana madeni kila benki, ofisini, marafiki n.k. kutokana na wake zao kulazimisha maisha ambayo ni juu sana na uwezo wao.
Mwanamke unatakiwa kujua jinsi ya kuipangilia nyumba yako na kuishi ndani ya uwezo wenu. Maisha ya kuiga na kutaka kuonekana uko juu hayatakufikisha mbali, utaibomoa nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe. Kubali hali uliyonayo kisha fanya kazi kwa bidii ili kuiboresha na kufikia ndoto zako. Acha kulazimisha na kumpa mumeo pressure zisizo na msingi.