Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
...
-mama katoka, huku nyuma mtoto anajisaidia na baba anamwacha aungue na mikojo mpaka mamake arudi!
But wengi we love the person we dont trust
Kwakweli kama hili pia ni kero, mna kazi kuwapata/kuwabadili watu wenu!! Jiandaeni na compromise nyingi vinginevyo, yaleyaleee, ndoa za wiki3!!
miss chagga kaamua kuwananva wavulana..wanaume hatupo ivoNimekumiss mbaya.
Hat hapa ni majukumu pia hili lisiredi la miss chagga linakimbiza mbaya
Atleast useme lako neno
-kuoga na kuacha sabuni na dodoki chini wakati alivikuta kwenye holders
-kukojoa na kuacha mitone ya mikojo kwenye choo hasa vyoo vya kukalia
-kulala bila kupiga mswaki halafu alfajiri morning glory anataka denda, ptuuuuu
-kumaliza jusi yote kwenye friji bila kujali wengine watakunywa nini
-kula mapaja na vidari na kuachia watoto na mke shingo na mgongo wa kuku
- kurudi nyumbani saa 7 usiku akiwa amelewa na kesho yake saa 4 kwenda bar kuzimua na kupata supu huku nyumbani mke na watoto wakigombania viandazi na chai ya rangi, kisha kupitiliza huko huko na washkaji mpaka saa 7 tena jumamosi na jumapili. Hovyo kabisa!
-mama katoka, huku nyuma mtoto anajisaidia na baba anamwacha aungue na mikojo mpaka mamake arudi!
Habari wana JF
Katika pita pita zangu nimekutana na haya wanaume wengi wanalalamikiwa na wanawake au mabinti kuwa tabia zifuatazo zinawakera kwa kuwa nina mapenzi na rafiki zangu JF hasa MMU kama unatatizo kati ya haya baadhi nitakayotaja jirekebishe ni upendo wangu tu kwenu.
- Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.
- Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala.
- Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba hata kuhudumiana ni tatizo... mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...
- Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya kutosheleza matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila siku utasikia sina hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi tuone unafanya jambo la maana upuuzi mtupu
- Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki zako kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.
- Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... hivi niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...
muhimu: jitahidini kutafuta pesa kwa bidii na kufanya mazoezi ya viungo. siku njema rafiki
Unamwachaje mtoto na haja muda mrefu kisa eti ni kazi ya mamake? Huku ni kukosa huruma.
Hahahahahahahahah Aiseee-kuoga na kuacha sabuni na dodoki chini wakati alivikuta kwenye holders
-kukojoa na kuacha mitone ya mikojo kwenye choo hasa vyoo vya kukalia
-kulala bila kupiga mswaki halafu alfajiri morning glory anataka denda, ptuuuuu
-kumaliza jusi yote kwenye friji bila kujali wengine watakunywa nini
-kula mapaja na vidari na kuachia watoto na mke shingo na mgongo wa kuku
- kurudi nyumbani saa 7 usiku akiwa amelewa na kesho yake saa 4 kwenda bar kuzimua na kupata supu huku nyumbani mke na watoto wakigombania viandazi na chai ya rangi, kisha kupitiliza huko huko na washkaji mpaka saa 7 tena jumamosi na jumapili. Hovyo kabisa!
-mama katoka, huku nyuma mtoto anajisaidia na baba anamwacha aungue na mikojo mpaka mamake arudi!
Baelezee!!alafu wakiambiwa wanaona kuchunwa unachunwaje kama ungetoa kwa hiyari ... yani huwa ni kichefu chefu
Hahahahahahahahah Aiseee
Kuna mtu anaandaliwa mazingira ya kupigwa mzinga mkubwa hapa
Hahahahaaaa....!!!. mia